The House of Favourite Newspapers

Lwandamina Amaliza Mchezo kwa Wasomali

KOCHA Mkuu wa Azam, George Lwandamina, ameweka wazi kuwa wana matumaini makubwa ya kupata matokeo mazuri katika mchezo wa marudiano wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Horseed ya Somalia, ili kujiandaa na mchezo wa raundi ya kwanza…

Lwandamina Aomba Muda Azam FC

KOCHA Mkuu wa Azam FC, Mzambia, George Lwandamina, yupo katika mchakato wa kumchunguza nyota mmojammoja katika kikosi hicho ili kupembua pumba na mchele ili kujua nyota gani anastahili kuongezwa katika kikosi hicho ambapo ameomba muda…

Lwandamina Atajwa Kutua Azam FC

KAMA mambo yakienda sawa basi aliyekuwa kocha wa zamani wa Yanga, Mzambia George Lwandamina atamwaga saini ya kubeba mikoba ya Mromania Aristica Cioaba ndani ya kikosi cha Azam FC. Lwandamina anapewa nafasi ya kuchukua…

Lwandamina awachokoza Yanga Dar

KOCHA wa zamani wa Yanga, Mzambia, George Lwandamina amefunguka kuwa anakuja Tanzania kwa kazi moja tu ya kuhakikisha anaifunga timu hiyo katika mchezo wa hatua ya kwanza ya Ligi ya Mabigwa Afrika. Lwandamina ambaye kwa sasa amerejea…

ZAHERA AMPOTEZA LWANDAMINA YANGA

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera, amempoteza kabisa kocha wa zamani wa timu hiyo, Mzambia George Lwandamina kwa kuweka rekodi ya aina yake katika Ligi Kuu Bara.   Zahera, mwenye uraia wa DR Congo na Ufaransa, amejiunga Yanga kwa…