The House of Favourite Newspapers

Jaji Msuya Alivyoagwa Dar

KAIMU Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Khamis Juma mapema leo amewaongoza waombolezaji kutoa heshima zao za mwisho kwa aliyekuwa Jaji wa Mahakama kuu ya Tanzania, Upendo Msuya aliyefariki dunia hivi karibuni. Prof. Ibrahim…

Jaji Msuya kuzikwa Jumamosi, Dar

Mwili wa aliyekuwa Jaji wa mahakama kuu ambaye amejiuzulu  hivi karibuni, Upendo Msuya unatarajiwa kuzikwa Jumamosi katika makaburi ya Kinondoni saa 9 mchana. Jaji Msuya alifariki Jana   katika hospitali ya Kairuki alipokuwa amelazwa…