The House of Favourite Newspapers

Haruna Niyonzima Apata Ajali

NYOTA wa kikosi cha Yanga, Haruna Niyonzima taarifa zinaeleza kuwa amepata ajali akiwa na mke wake nchini Rwanda wakati gari alilokuwa akiendesha kupata ajali wakati akimkwepa mwendesha baiskel katika eneo la Nyamata, wilaya ya…

Niyonzima Ndiyo Basi Tena Yanga

LUC Eymael, Kocha Mkuu wa Yanga, amesema hatakuwa na huduma ya wachezaji wake wawili, Haruna Niyonzima na Mapinduzi Balama ndani ya Yanga mpaka msimu ujao wa 2020/21. Viungo hao kwa pamoja wamehusika kwenye jumla ya mabao…

Niyonzima Ashusha Presha Yanga SC

AKIUKOSA mchezo wa jana Jumatano wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Kagera Sugar, kiungo mchezeshaji fundi wa Yanga raia wa Rwanda, Haruna Niyonzima, ameibuka na kutamka kuwa mashabiki waondoe hofu kwani anaendelea vizuri kiafya na Mungu…

Niyonzima Atupa Kombora Simba

KIUNGO mchezeshaji mkongwe fundi, Haruna Niyonzima, amesema kuwa kwa sasa ni bora akastaafi a maisha yake ya soka Yanga na siyo kurudi tena Simba. Niyonzima alirejea kuichezea Yanga kwenye usajili wa dirisha dogo msimu huu…

Mo Ampigia Saluti Haruna Niyonzima

KITENDO cha kiungo wa Yanga, Mohamed Issa ‘Mo Banka’, kuamua kumvulia jezi namba 8 na kumpatia kiungo wa zamani wa kikosi hicho Haruna Niyonzima baada ya kurejea upya ndani ya klabu hiyo ni wazi amempigia saluti na kumpatia heshima…