Transfoma Tano Kuwasha Umeme Muriet Arusha – Video
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Makao Makuu, limekabidhi transformer kwa kata ya Muriet jijini Arusha kwa ajili ya kuwasha umeme kwa wakazi wa vijiji vya kata hiyo.
Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo ameonesha furaha yake…