Binti Afia Kwa Mchungaji Akifanyiwa Maombi Baada ya Kuugua Malaria na U.T.I
Binti mmoja mkazi wa Magamba Kijiji cha Mkuyuni Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi, Consolata Charles (16) amefariki dunia nyumbani kwa Mchungaji wakati akiombewa.
Kwa mujibu wa baba mlezi, Charles Gasto na…