Ndoa ya Amber Lulu Yanukia, Adaiwa Kuwa Kwenye Uhusiano na Mtu Mpya
Amber Lulu; ni mwanamama staa wa muziki wa Kizazi Kipya ambaye hatimaye ametangaza jambo zito, amesema ndoa yyake inanukia.
Amber Lulu ambaye ni mama wa mtoto mmoja aliyezaa na rapa Emba Botion ametangaza hatua hiyo baada ya kudaiwa…