BASATA Waja na Tukio Kubwa, Dr. Abbasi Asema si la Kukosa
				BAADA ya kuanza na kampeni ya kukumbusha na kuhimiza utayari wa Watanzania juu ya kushiriki wa sensa ya watu na makazi mnamo tarehe 23 Agosti mwaka huu iliyojulikana kama SENSABIKA ambayo ilikuwa ikifanyika kwa njia ya mitandao, leo hii…			
				 
			