The House of Favourite Newspapers
Browsing Tag

dodoma

Tetemeko Lazua Taharuki Dodoma

Taasisi ya Jeolojia na Utafiti wa Madini (GST) imesema tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 5.5 katika kipimo cha richter limetokea mkoani Dodoma na kusababisha taharuki na sintofahamu kwa wakazi wa mkoa huo. Akizungumza leo Januari 18,…

Breaking: Ajali Yaua watau Dodoma

Watu watatu wamefariki dunia na wengine 11 kujeruhiwa katika ajali basi iliyotokea katika eneo la panda mbili wilayani Kongwa mkoani Dodoma. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Onesmo Lyanga amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo…

Watu 15 Mbaroni kwa Kuuza Jezi Feki

JESHI la Polisi mkoani Dodoma linawashikilia watuhumiwa 15 kwa tuhuma za kuuza jezi feki kutoka katika mikoa ya Dodoma, Dar es Salaam, Mwanza, Tabora na Tunduma ambapo jumla ya Jezi 279, Urembo (ribons) 300 na Kofia sita zimekamatwa.…

Mabingwa Ndiyo Kwanza Tumeanza

“MABINGWA ndiyo tumeanza sasa!” Hiyo ni kauli ambayo ilitawala katika Dimba la Jamhuri, Dodoma kutoka kwa mashabiki wa Simba baada ya timu hiyo kupata ushindi wake wa kwanza katika Ligi Kuu Bara msimu huu. Simba walianza…

Mbunge Hussein Nassor: Siombi Radhi

MBUNGE wa Viti Maalum, Jacqueline Ngonyani Msongozi amesimama na kuomba mwongozo kuhusu ishu iliyotokea jana Juni 1, 2021 ya Mbunge wa Momba Condester Michael Sichalwe kutolewa nje ya ukumbi wa Bunge na Spika kwa madai kuwa amevaa nguo…

Tume ya Madini Yafanya Makubwa

Tume ya Madini imefikia lengo kukusanya maduhuli kwa zaidi ya asilimia 100. Katika 2018/19 ilikusanya maduhuli ya sh bilioni 346.78 sawa na asilimia 101.59 na kuvuka lengo la kukusanya Sh bilioni 310.32. Katika 2019/20, Tume hii imevuka…

Kimei: Serikali Ikakope Nje

Mbunge wa Vunjo, Dk Charles Kimei amesema deni la taifa ni himilivu na thamani ya shilingi ni nzuri na Serikali inaweza kutumia kwenda kukopa fedha kwenye soko la dunia kwa riba ndogo ili kukamilisha miradi mikubwa nchini. …