Hizi Hapa Sababu za Kwa Nini Mpenzi Wako Hakuonei Wivu?
MAPENZI yananoga wivu unapokuwa ndani yake. Ukitathimini kwa harakaharaka, unaweza kusema kama hakuna wivu, hakuna mapenzi. Inapotokea mpenzi wako, hata ufanye nini hakuonei wivu, bila shaka hata wewe utahisi kuna tatizo.
Unatamani…
