Burna Boy Aendeleza Ubabe Wake wa Kunyakua Tuzo za Kimataifa
THE AFRICAN GIANT, Burna Boy ametangazwa Msanii Bora Afrika katika Tuzo za Muziki za MTV Ulaya (MTV Europe Music Awards - MEMA) kwa mwaka 2022, na kuongeza unyoya mpya kwenye kofia yake kubwa inayoendelea kupanuka.
Burna…
