Kisa Rayvanny… Paula, Fahyma Vitani Upya Paula Amwambia Fahyma ‘Huna Akili’
Rayvanny au Vanny Boy; ni supastaa mwingine wa muziki wa Kizazi Kipya nchini Tanzania ambaye miezi michache iliyopita alithibitisha kuachana na mpenzi wake ‘mchepuko’, mrembo Paula Kajala.Wakati Rayvanny au Chui akiachana na…