Rais Zelenskyy: Ukakamavu wa Wapiganaji wa Ukraine Umelipa Taifa lao Nguvu Zaidi
Wizara ya Ulinzi ya Uingereza ilisema Jumanne majeshi ya Russia na yale ya kikundi cha mamluki cha Wagner “huenda hivi sasa wanaudhibiti” wa sehemu kubwa ya Soledar, mji mdogo unaozalisha chumvi mashariki mwa Ukraine uliopo katika eneo…
