Putin Kuhudhuria Mkutano wa BRICS Nchini Afrika Kusini
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amesema Jumapili kuwa mkutano wa kilele wa mwezi ujao wa BRICS, ambao Vladimir Putin amealikwa kuhudhuria, utafanyika ana kwa ana licha ya hatiya kukamatwa kwa kiongozi huyo wa Russia.
…
