NBAA Yatoa Milioni 15, Hospitali Ya Muhimbili Kwaajili Ya Watoto Wanaogua Saratani
Dar-es-Salaam, 30 Novemba 2023: Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili iliyopo Upanga Dar, Dk. Julieth Magandi amepokea cheki ya shilingi milioni 15, kutoka Bodi ya Uhasibu nchini (NBAA) kwa ajili ya kusaidia…