The House of Favourite Newspapers
Monthly Archives

April 2024

Kurasa za Magazeti ya Leo Aprili 29, 2024

MSIMU MPYA MAMBO MAPYA! Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara mbili kwa wiki, Jumatatu na Ijumaa, sasa limekuja kivingin Tunatoa zawadi kwako ewe msomaji ambapo kwa kununua GAZETI LA CHAMPIONI, utapata fursa ya…

Pacome Kuendelea Kukaa Nje Tena

Kiungo wa Klabu ya Yanga, Pacome Zouzoua, ataendelea kukosekana katika mchezo wa leo dhidi ya Coastal Union utakaochezwa Uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam. Pacome anaendelea kukosekana baada ya kutokuwa fiti kuanza kucheza kutokana…

Ajali: Escudo Yaiparamia Bajaji

Gari aina ya suzuki Escudo imegongana Bajaji katika eneo la CCM kata ya Ilomba Jijini Mbeya majira ya saa mbili asubuhi Aprili, 27/ 2024. Kwa mujibu wa shuhuda wanasema dereva wa Escudo alikuwa anaingia barabara kuu gari limemshinda…