Aliyekuwa spika wa bunge Afrika kusini ashtakiwa kwa tuhuma za ufisadi
Nosiviwe Mapisa-Nqakula, ambaye alijiuzulu wadhifa wa uspika Jumatano, alifikishwa mahakamani mjini Pretoria baada ya kufika polisi na kukamatwa rasmi.
“Mashtaka dhidi ya Bi Mapisa-Nqakula ni makosa 12 ya rushwa na moja la biashara…