The House of Favourite Newspapers

Aaunty Lulu Adai Ameacha Uwaluwalu

MWANADADA aliyewahi kuwa mwigizaji na mtangazaji kwenye vituo mbalimbali vya redio na televisheni Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ amesema kama yeye ameamua kuacha mambo ya kujirusha hovyo na kusababisha matukio kadha wa kadha yasiyo…

Aunty Lulu acharuka Bondi kuoa!

BAADA ya hivi karibuni mwigizaji wa filamu za Kibongo, Bondi Suleiman kufunga ndoa na mwanamama raia wa Burundi, Charlote Rafael, aliyewahi kuwa mpenzi wake wa kupika na kupakua, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ amecharuka vilivyo na kuhoji…

AUNTY LULU AAPA KUMLOGA DIAMOND

MSANII wa filamu Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ ametoa kali ya mwaka baada ya kueleza kuwa licha ya staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ hivi karibuni kusema kuwa amejifunza kuwa makini kwa kutumia kinga ili asiendelee kupata…

Aunty Lulu Awekwa Kinyumba

Stori: Gladness Mallya na Hamida Hassa, Risasi Jumamosi, Habari DAR ES SALAAM: Imevuja! Baada ya hivi karibuni kuamua kupima Ukimwi kutokana na skendo iliyokuwa ikimtafuna kwamba ameathirika na vipimo kuonyesha yupo salama, habari…

Aunty Lulu Sasa Kuimba Gospo

  Na MWANDISHI WETU/GPL BAADA ya maisha ya ujana yenye kila aina ya uchafu hatimaye msanii na Mtangazaji Lulu Semagongo maarufu kama Aunty Lulu, amesema anajiandaa kuimba nyimbo za Injili zitakazozungumzia maisha yake ili watu…

Aunty Lulu Amng’ata Sikio Makonda

Na Gladness Mallya| RISASI MCHANGANYIKO| Za Motomoto BAADA ya hivi karibuni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kutaja majina ya watu wanaohusishwa na madawa ya kulevya, msanii wa filamu Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu  ’…

Aunty Lulu: Wastara kubali yaishe

Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ Gladness Mallya BAADA ya hivi karibuni wasanii wa filamu waliokuwa wapenzi, Wastara Juma na Bond Suleiman kutengana, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ ameibuka na kumshauri staa huyo kukubaliana na matokeo.…

Aunty Lulu anaswa kwa sangoma

Gladness Mallya MSANII wa filamu Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ amenaswa kwa sangoma mkoani Tanga ‘akitengenezwa’ ili kung’arisha nyota yake inayodaiwa kushuka. Chanzo cha uhakika kimeliambia gazeti hili kuwa kimemshuhudia msanii huyo…

MASTAA HAWA, GUSA UPOTEE

PENYE wengi pana mengi. Kila uchwao katika ulimwengu wa mastaa kuna mengi yanayotokea yakiwemo mazuri na mabaya, ya kufurahisha na kuhuzunisha. Wapo baadhi ya mastaa hasa wa kike ambao wanapoingia kwenye uhusiano wa kimapenzi na wanaume…

Mastaa Pasua Kichwa Mitandaoni

KILA kukicha maisha yanabadilika na kuwa magumu hivyo hata katika ulimwengu wa mastaa wamekuwa wakibuni mbinu mbalimbali kwa kile wanachodai ni kurahisisha maisha yao. Sanaa kwa sasa ni ngumu iwe ni muziki au filamu ambapo…

Mama Wema si wa Mchezomchezo

Na MWANDISHI WETU| GAZETI LA UWAZI| HABARI DAR ES SALAAM: Bado sakata la mama wa Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu  , Mariam Sepetu  kudaiwa kumrekodi bila ridhaa yake mchekeshaji Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ kisha sauti hiyo…

Mastaa Wakauka Sehemu za Bata

Na WAANDISHI WETU| RISASI MCHANGANYIKO| HABARI DAR ES SALAAM: Kufuatia msala wa kutuhumiwa kujihusisha na utumiaji au biashara ya madawa ya kulevya unaosimamiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, sasa baadhi ya mastaa…

Bond amwangukia Wastara

Aliyekuwa mchumba wa mwigizaji wa staa wa sinema za Kibongo, Wastara Juma, Bond Suleiman. Gladness Mallya Msamaha! Aliyekuwa mchumba wa mwigizaji wa staa wa sinema za Kibongo, Wastara Juma, Bond Suleiman amemwangukia mwandani wake…