Mkurugenzi Mtendaji, Uongozi na Wafanyakazi wa Global Publishers Ltd wanawatakia wasomaji wa magazeti yetu na Watanzania kwa ujumla Krismasi Njema yenye upendo na Amani.
Viongozi wa Sun Broadcasting Holding Limited yenye makao yake makuu Ndola, Zambia, leo Desemba 16, 2023 wametembelea ofisi za Global TV, zilizopo Sinza Mori jijini Dar es Salaam.
Viongozi waliotembelea ofisi za Global TV na…
Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) na Shirika la Maendeleo ya Tafsiri ya Lugha ya Alama Tanzania (TSLTDO) wamesaini Hati ya Makubaliano ya Ushirikiano wa Kikazi wenye lengo la kusaidia wanafunzi Viziwi kupata elimu kwa kuwa…
Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) na Shirika la Maendeleo ya Tafsiri ya Lugha ya Alama Tanzania (TSLTDO) wamesaini Hati ya Makubaliano ya Ushirikiano wa Kikazi wenye lengo la kusaidia wanafunzi Viziwi kupata elimu kwa kuwa na vifaa bora…
Tanga Monday September 11 2023 – In a significant boost to women entrepreneurs in Tanga, 487 food vendors received essential business support from Cola Kwanza Ltd, a subsidiary of Coca-Cola Beverages Africa (CCBA), in partnership with…
Ujenzi wa kiwanda cha kisasa cha kutengeneza vioo kilichopo Kijiji cha Mkiu, Wilaya ya Mkuranga, Mkoa wa Pwani umefikia asilimia 90 ya ukamilishaji wake na tayari moja ya mtambo wake umewashwa kwa mara ya kwanza kujiandaa na uzalishaji wa…
27 Januari 2023, Mtwara. Kampuni ya Wentworth Gas Ltd, kupitia Taasisi ya Wentworth Africa Foundation Tanzania imetoa taulo 1,500 zenye thamani ya Shilingi milioni 5 kwa watoto wa shule za Mtwara ikiwa ni sehemu ya mpango wake wa…
ABOUT GEITA GOLD MINING LTD
Geita Gold Mining Ltd (GGML) is Tanzania’s leading gold producer with a single operation in Geita Region. The company is a subsidiary of AngloGold Ashanti, an international gold producer headquartered in…
5 December 2022, Dodoma – More than 300 women food vendors in the Dodoma Region received cooking equipment and clothing items to boost their businesses today as part of an economic inclusion campaign by the Coca-Cola Beverages…
Industry : Print /Digital Media Job Function : Sale / Business Development
Job Experience Level : Mid Level
Minimum Years of Experience : 1-2
Minimum Academic Qualification : Bachelor
Job Summary
To develop, maintain and…
Kampuni ya uuzaji na uunganishaji wa magari na mitambo ya Gf Trucks & Equipment’s Ltd imebuka kampuni ya kwanza inayouza na kusambaza Magari na mitambo ukanda wa mikoa ya kanda ya ziwa.
Hayo yamejiidhirisha wakati wa kufunga …
KAMA sehemu ya mpango wa kuwekeza katika jamii Kampuni ya Wentwoth Gas Ltd ilikuwa kati ya wadhamini wa mashindano ya Dar Touch Rugby Tournament yaliyofanyika katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Timu ya Arusha Rhinos waliibuka…
Re - Advertised
ABOUT GEITA GOLD MINING LTD
Geita Gold Mining Ltd (GGML) is Tanzania’s leading gold producer with a single operation in Geita Region. The company is a subsidiary of AngloGold Ashanti, an international gold…
ABOUT GEITA GOLD MINING LTD
Geita Gold Mining Ltd (GGML) is Tanzania’s leading gold producer with a single operation in Geita Region. The company is a subsidiary of AngloGold Ashanti, an international gold producer…
ABOUT GEITA GOLD MINING LTD
Geita Gold Mining Ltd (GGML) is Tanzania’s leading gold producer with a single operation in Geita Region. The company is a subsidiary of AngloGold Ashanti, an international gold producer…
4 Agosti 2022, Dar es Salaam. Kampuni ya Wentworth Gas Ltd leo imezindua Ripoti yake ya Mipango Endelevu ya mwaka 2021. Ripoti hii inachagiza Ripoti Kuu ya Mwaka 2021 ya Wentworth Resources Plc., ikitoa maelezo zaidi…
MKUU wa Mkoa wa Simiyu David Kafulila ametoa muda wa siku saba kwa wakala wa Barabara mjini na vijijini (Tarula) Wilaya ya Meatu mkoani humo kuvunja mkataba na Mkandarasi Didia Co.ltd kutoka mkoani Shinyanga ambaye alikuwa anajenga…
POST
PROOF READER II - 2 POST
POST CATEGORY(S)
LINGUISTICS
EMPLOYER
Tanzania Standard Newspapers Ltd (TSN)
APPLICATION TIMELINE:
2022-04-21 2022-05-04
JOB SUMMARY
N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i. To…
POST
ASSISTANT GRAPHIC DESIGNER II - 2 POST
POST CATEGORY(S)
CREATIVE AND DESIGN
EMPLOYER
Tanzania Standard Newspapers Ltd (TSN)
APPLICATION TIMELINE:
2022-04-21 2022-05-04
JOB SUMMARY
N/A…
POST
ASSISTANT PRINTER II - 7 POST
POST CATEGORY(S)
CREATIVE AND DESIGN
EMPLOYER
Tanzania Standard Newspapers Ltd (TSN)
APPLICATION TIMELINE:
2022-04-21 2022-05-04
JOB SUMMARY
N/A
DUTIES AND…
UONGOZI na wafanyakazi wa Kampuni ya Global Publishers Ltd unawatakia heri ya Sikukuu ya Pasaka wasomaji wake, tunaomba muendelee kutembelea mtandao wetu huu, Mungu awabariki.
WASHINDI wa tuzo za Tanzania Digital Awards 2021 wametangazwa rasmi, ambapo washiriki 58 kati ya 278 wameibuka washindi wa tuzo hizo.
Radio namba moja ya mtandaoni, +255 Global radio imeibuka kinara tena kwa mara nyingine…
Mkurugenzi wake wa Logistic Mr. Haji Ally (kulia) ilimkabidhi vifaa hivyo Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani Wilaya ya Kinodoni, Notker Kilewa kwenye hafla iliyofanyika Makao Makuu ya Coca-Cola Kwanza Jijini Dar es Salaam.…
MWANDISHI wa habari wa Global TV, ambaye kituo chake cha kazi ni jijini Dodoma, Mohamed Zengwa (pichani chini) na wenzake wawili wamepata ajali mbaya ya gari leo Jumanne, Septemba 21, 2021 katika Kijiji cha Usimba, wilaya ya Uyui mkoani…
LEO AGOSTI 10, 2021 ni siku muhimu kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Global Group LTD na Mbunge wa Buchosa, Eric James Shigongo, ambaye anasherehekea siku yake ya kuzaliwa.
Wafanyakazi wote wa Kampuni ya Global Group…
ACCOUNTANT REQUIRED
GLOBAL GROUP of companies, with its head office in Dar es salaam, Sinza Mori, is looking for a qualified and experienced accountant whose main responsibilities will be as follow:
Do daily accounts…
Global Publishers & General Enterprises LTD, kampuni ya uchapishaji wa Magazeti ya Uwazi, Ijumaa, Championi, Risasi na Amani, na wamiliki wa mitandao, ina nafasi ya kazi ya Data Clerk.
Kampuni ya Global Publishers Ltd leo Julai 13, 2021 imepokea Tuzo ya Heshima kwa kudhamini maonesho ya Kimataifa ya Biashara (TanTrade) 2021 maarufu kama maonesho ya Sabasaba ambayo yalikuwa ya 45th DITF, mbele ya Makamu wa pili wa Rais…
MAKAMU wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango ameipongeza Kampuni ya Global Publishers & Enterprises Ltd wachapishaji wa magazeti ya Championi, SpotiXtra, Ijumaa, Risasi, Uwazi, Amani na Ijumaa Wikienda kwa kudhamini maonyesho ya…
Global Publishers & General Enterprises LTD, kampuni ya uchapishaji wa Magazeti ya Uwazi, Ijumaa, Championi, Risasi na Amani, na wamiliki wa mitandao, ina nafasi ya kazi ya watu wa masoko.
Global Publishers & General Enterprises LTD, kampuni ya uchapishaji wa Magazeti ya Uwazi, Ijumaa, Championi, Risasi na Amani, na wamiliki wa mitandao, ina nafasi ya kazi ya Sales & Marketing
MAOFISA usambazaji wa Kampuni ya Global Publishers Ltd ambao ni wachapishaji wa Magazeti ya Uwazi, Championi, Amani, Risasi na Ijumaa leo wamegawa nailoni maalim kwa ajili ya kufunikia magazeti wakati wa mvua kwa baadhi ya…
Mkurugenzi Mtendaji, Uongozi na Wafanyakazi wa Global Publishers Ltd wanawatakia wasomaji wa magazeti yetu na Watanzania kwa ujumla Pasaka Njema yenye upendo na Amani.
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:…
Plant Operators (2 Posts)
Tazama Pipelines Limited, an interstate organization owned by the United Republic of Tanzania and the Republic of Zambia and which deals in transportation of crude oil from Dar es Salaam to Ndola, Zambia,…
HATIMAYE ile tuzo ya Radio Namba Moja ya Mtandaoni Tanzania iliyotolewa na Tanzania Digital Awards iliyobebwa 'kibabe' na +255 Global Radio, imefika salama makao makuu ya Global Publishers Sinza-Mori, jijini Dar es Salaam.
Tuzo…
THIS ROLE IS OPEN TO CITIZENS OF TANZANIA ONLY.
1. BASIC FUNCTION
The Service Supervisor reports to the Head of Retail and is responsible for the implementation of business development activities within all AutoXpress retail…
WAKATI Kampuni ya Global Publishers Ltd ikizidi kwenda kasi katika ulimwengu wa kidijitali, leo tena timu ya maofisa masoko wa kampuni hiyo wameendelea kutoa elimu juu ya namna wasomaji wa magazeti ya Uwazi, Ijumaa Wikienda, Risasi…
JOB OPENING AT SECUREX SECURITY AND
ALARMS COMPANY LIMITED
Seeking for 3 a competent & skilled Accountants to join the team,
The ideal candidate must be a female (30yrs-40yrs) holding relevant degree in accounting or…
PRIMEFUELS TANZANIA Limited ni Kampuni inayohusika na Usafirishaji wa Mizigo tofauti yenye asili ya vimiminika (fluids) na mali yabisi (dry cargo).
PRIMEFUELS TANZANIA Limited inahitaji madereva wenye WELEDI, UZOEFU NA UADILIFU…