The House of Favourite Newspapers

Zitto Kabwe Akutwa na Covid-19

Kiongozi Mkuu wa ACT - Wazalendo, Zitto Kabwe amesema alipimwa na kukutwa Virusi vya Corona (COVID 19) baada ya kupatwa na Mafua. Zitto anasema "Chanjo imesaidia kutopata madhara makubwa. Nimekaa eneo tengwa (isolation) ili…

Magufuli Ampa Pole Zitto Kabwe

RAIS   John Magufuli, amempigia simu mgombea ubunge wa jimbo la Kigoma mjini, Zitto Kabwe, kwa lengo la kumjulia hali na kumtakia heri ili apone haraka baada ya hapo jana kupata ajali ya gari na kupata majeraha kadhaa. …

Zitto Kabwe Achukua Fomu

Kiongozi wa Chama cha ACT- Wazalendo, Zitto Kabwe leo Februari 18, jijini Dar es Salaam amechukua fomu ya kuomba kugombea tena nafasi hiyo kwa muhula mwingine. Akizungumza baada ya kuchukua fomu, Zitto amesema ameamua…

Zitto Kabwe Amjibu Sumaye

KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe,  amesema hawajafanya mazungumzo yoyote na waziri mkuu mstaafu, Frederick Sumaye,  ambaye leo mchana Jumatano Desemba 4, 2019 ametangaza kuwa si mwanachama wa Chadema. Zitto…

ZITTO KABWE AMALIZANA NA TAKUKURU

MBUNGE wa Kigoma Mjini na Kiongozi wa Chama cha ACT – Wazalendo, Zitto Kabwe, amaliza kuwasilisha ushahidi wa tuhuma za rushwa inayodaiwa kuhusisha viongozi wa juu Serikalini katika mradi wa uzalishaji chuma wa Mchuchuma na Liganga kwa…

ZITTO KABWE AJIPELEKA TAKUKURU

MBUNGE wa Kigoma Mjini na Kiongozi wa Chama cha ACT - Wazalendo, Zitto Kabwe, amepeleka ushahidi wa tuhuma za rushwa inayodaiwa kuhusisha viongozi wa juu Serikalini katika mradi wa uzalishaji chuma wa Mchuchuma na Liganga kwa Taasisi ya…