The House of Favourite Newspapers

Lionel Messi Nje Wiki Mbili

Mshambuliaji mpya kwa klabu ya PSG, Lionel Messi anatazamiwa kuwa nje ya uwanja kwa takribani wili mbili baada ya vipimo vya MRI kuonesha kuwa amepata mikwaruzi ndani ya goti lake la kushoto ambalo lilimfanya aanze kupata maumivu kwenye…

Neymar amzidi mshahara Messi

TAARIFA ya orodha ya wachezaji wanaoingiza mshahara mrefu kwenye Ligue 1 imetoka, huku mchezaji nyota zaidi kwenye ligi hiyo, Lionel Messi anayekipiga PSG akishika namba mbili kwa kuingiza kitita cha Euro milioni 3.3 (sawa na Sh bilioni…

Messi Anyakua Ballon D’OR

Nahodha wa timu ya taifa ya Argentina, Lionel Messi amefanikiwa kuweka rekodi nyingine kwenye tuzo za Ballon D'OR kwa kutwaa tuzo yake ya Saba. Nyota huyo amefanikiwa kuwashinda nyota wa Bayern Munich Robert Lewandowski na…

Ansu Fati: Siwezi Kumfikia Messi

KINDA wa Barcelona, Ansu Fati amesema kuwa alipata ofa nyingi sana lakini akaamua kubaki Barcelona na wala hana wasiwasi kuvaa jezi ya Lionel Messi. Fati alikubali kusaini mkataba mpya wa miaka sita na Barcelona juzi na sasa dau lake…

Ronaldo Ampiku Messi

STAA wa Manchester United, Cristiano Ronaldo amempiku  mshindi wa mara sita wa tuzo ya Ballon d'Or Lionel Messi  anayekipiga Paris Sait -Germain PSG, kwa wanasoka wanaolipwa zaidi 2021. Kwa Mujibu wa Jarida la Forbes,…

Owen: PSG ya Messi ni Dhaifu

MICHAEL Owen anadai kikosi cha Paris Saint-Germain ni dhaifu sasa baada ya Lionel Messi kujiunga na klabu hiyo kufuatia Muargentina huyo kushindwa kufunga bao kwenye mechi yake ya kwanza akianza katika timu hiyo. Messi…

Henry: Messi Hatoshi PSG

MSHAMBULIAJI wa zamani wa Arsenal, Thierry Henry amesema kuwa kitendo cha PSG kumsajili Lionel Messi siyo suluhisho la matatizo yao. PSG walimsajili Messi wiki iliyopita na anatarajiwa kuanzia mazoezi na timu hiyo kabla ya mwisho wa…

Ramos: Messi Anaweza Kuishi Kwangu

BEKI wa Paris Saint-Germain, Sergio Ramos amemwambia mchezaji mpya wa klabu hiyo, Lionel Messi anaweza kwenda kuishi nyumbani kwake yeye na familia kama atakuwa amechoka kuwa hotelini katika kipindi hiki ambacho bado anaweka mambo yake…