The House of Favourite Newspapers

Manula Arejea Simba Kuwavaa Dodoma

UONGOZI wa Simba SC, umefunguka na kuwatoa hofu mashabiki wake na kuelezea kurejea kikosini kwa kipa wao namba moja, Aishi Manula. Manula hakuwepo kwenye mchezo uliopita wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Biashara United ambapo…

Nabi Akubali Muziki wa Manula

NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa mikono ya kipa namba moja wa Simba, Aishi Manula iliwazuia kupata ushindi kwenye mchezo wao wa ligi. Juzi, Uwanja wa Mkapa, Yanga ilikuwa na kazi ya kusaka ushindi mbele ya Simba…

Aliyempa Tabu Manula Arejea

IKIWA zimebaki siku 12 za watani wa jadi Simba na Yanga kukutana Uwanja wa Mkapa habari njema kwa mashabiki wa Yanga ni kwamba aliyemtungua Aishi Manula bao kali akiwa nje ya 18 amerejea tayari katika ubora wake. Ni Mapinduzi Balama…

Manula Apewa Shavu Simba

KOCHA Mkuu wa Simba, Didier Gomes, amesema itakuwa ngumu kumuweka benchi kipa Aishi Manula ndani ya kikosi chake kutokana na ubora ambao anazidi kuuonesha kila siku. Ndani ya kikosi cha Simba, Manula anaunda safu ya makipa sambamba…

Manula, Diarra Waingia Vitani

BAADA ya kutesa kwa takribani misimu sita kwenye Ligi Kuu Bara akifanikiwa kutwaa tuzo sita za kipa bora wa ligi hiyo, rasmi kipa wa Simba, Aishi Manula ameingia kwenye vita ya ufalme na kipa namba moja wa Yanga, Djigui Diarra aliyeanza…

Wasauz Mampandia Dau Manula

KIWANGO bora kinachooneshwa na mlinda mlango namba moja wa Simba, Aishi Manula, kimezidi kuwavutia wababe wengi wa soka ndani ya Afrika wakitaka saini yake.Manula ambaye msimu huu amefanya kazi kubwa hasa kwenye michuano ya Ligi ya…