Mwanamke wa Marekani atuhumiwa kuiba vitambulisho ili kuwapa kazi Wakorea
Waendesha mashtaka wa Marekani wamemshutumu mwanamke wa Marekani kwa kuwasaidia Wakorea Kaskazini kupata kazi nchini Marekani wakiwa mbali na kisha kuwatumia mishahara yao Korea Kaskazini.
Christina Chapman anashtakiwa pamoja na raia…