The House of Favourite Newspapers

Curry Aweka Rekodi NBA

STAA wa Golden State Warriors, Stephen Curry, ameweka rekodi ya kuwa mchezaji wa kwanza mwenye 3-pointi nyingi ndani ya NBA. Curry aliweka rekodi hiyo hivi karibuni akifikisha 2,974 katika robo ya kwanza ya mchezo wa NBA…

Giannis hajalala kutolewa NBA

STAA wa Milwaukee Bucks, Giannis Antetokounmpo amesema amekuwa anakosa usingizi baada ya timu yake kutolewa kwenye Ligi ya NBA. Buck ilitolewa kwa jumla ya mechi 4-2 na Toronto Raptors kwenye fainali ya Kanda ya Mashariki 'Eastern…

Wakubwa Wala Vichapo NBA

UZI Jumapili ilikuwa ni siku ya kusha-ngaza na kufura-hisha katika michezo ya Ligi Kuu ya Kikapu Marekani (NBA), hasa baada ya timu nyingi kubwa kupokea vipigo kutoka kwa timu ndogo ambazo wengi waliingia viwanjani wakijua zinakwenda…

NBA Mambo Yameanza Kuwa Moto

  LIGI ya NBA inatarajiwa kuanza hivi karibuni kwa timu zote kuonyesha umwamba wao uwanjani, huku kila timu ikitaka kuhakikisha msimu huu inatwaa ubingwa. Tayari timu zote zimeshaanza maandalizi ya msimu wa ligi hiyo na zingine…