The House of Favourite Newspapers

 Minu Aapa Kumuoa Snura!

MPENZI wa mwanamuziki wa Singeli nchini, Snura Mushi, Minhal Azad ‘Minu’ amesema kuwa, atakuwa mjinga aliyepitiliza kama hatamuoa mpenzi wake huyo kwa sababu ni mwanamke mwenye busara na anafaa kuwa mama wa familia yake. …

Snura Akana kumwagana na Minu

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Snura Mushi ‘Snura’ amekanusha kuwa hajaachana na mpenzi wake Minu Calypto kama ambavyo watu wengi walikuwa wakiamini hilo.  Akizungumza na Risasi Vibes, Snura amesema kuwa anawashangaa watu kwa kujadili…

Snura Ayapa Kisogo Mapenzi

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Snura Mushi ameibuka na kusema kuwa ameamua kuyapa mapenzi kisogo kwani hayana faida kwake. Akizungumza na Amani, Snura alisema baada ya kuachana na aliyekuwa mpenzi wake Minu kwa sasa yupo…

Snura Apata Ajali ya Gari

MSANII wa Muziki wa Mduara Bongo, Snura Mushi amenusurika katika ajali ya gari mkoani Lindi alikokwenda kufanya shoo. Ajali hiyo ya Snura aliyekuwa ameongozana na anayedaiwa kuwa mpenzi wake, Minu Calypto na madensa wake imetokea…

MINU AMBADILISHA MAVAZI SNURA!

Snura Mushi MSANII wa muziki Bongo, Snura Mushi anadaiwa kubadilishwa kimavazi na mwandani wake wa sasa aitwaye Minu. Mtoa ubuyu mmoja amenyetisha kuwa, Minu amemtaka Snura ajistiri kutokana na umbo lake kuwa na ushawishi…

Snura Akana Kupigwa Vibuti Penzini

MSANII wa filamu Bongo, Snura Mushi amesema kuwa, japo amekuwa akionekana kulalamika kuhusu masuala ya mapenzi, ukweli ni kwamba kinachomuuma ni kutompata mwanaume stahiki kwake, lakini hajawahi kuachwa, huwa anaacha. Snura…

Snura: Faiza Anatafuta Pa Kutokea

MWANAMUZIKI Snura Mushi ameibuka na kusema kuwa pamoja na msanii mwenzake Faiza Ally kumtukana mitandaoni kwa kutumia kazi yake ya muziki lakini atakuwa amepata funzo kwa yale aliyomwambia kwani hatarudia tena kile alichokifanya cha…

Snura: Lazima Nijipe Tuzo

MWANAMUZIKI aliyejizolea jina kubwa kupitia wimbo wake wa 'Majanga' Snura Mushi amefunguka kuwa anatarajia kujipa tuzo ya kupambana mwenyewe kwenye maisha akiwa kama baba na mama kwa wakati mmoja. Akizungumza na Showbiz…

DARASA SNURA LEO NDANI YA CHATO

IMEFIKA! Baada ya kusubiriwa kwa hamu na mashabiki wengi, hatimaye wakali wawili wasioshikika kunako gemu la Muziki wa Bongo Fleva, Snura Mushi ‘Mamaa Majanga’ na Sharif Thabeet ‘Darassa’ leo Jumamosi wanatarajiwa kuweka historia mpya…