The House of Favourite Newspapers

Tunda Ajifungua Mtoto wa Kike

MUUZA nyago aliyejizolea umaarufu kutokana na vituko vyake katika mitandao ya kijamii, Tunda Sebastian amejifungua mtoto wa kike salama katika hospitali moja jijini Dar. Tunda ambaye ni mpenzi wa msanii wa Bongo Fleva,…

Whozu Amfunga Breki Tunda

ANASTAZIA Sebastian Kimaro almaarufu kama Tunda, ni mwanadada mrembo ambaye amekuwa akitambulika kama muuza nyago ‘video vixen’ kwenye video za nyimbo za wasanii wa Bongo Fleva. Tunda ameonekana kwenye video kama Augelina,…

Whozu Tunda hawezi kunisaliti

BAADA ya tetesi kuzagaa kuwa ameonekana hotelini akiwa na mwanaume mwingine mwenye asili ya Kinigeria, mwanamuziki wa Bongo Fleva, Whozu amefunguka kuwa mpenzi wake, Tunda Sebastian hawezi kumsaliti hivyo habari hizo siyo za kweli. …

Tunda Awaka Kuitwa Chuma Ulete

VIDEO vixen asiyeishiwa habari Bongo, Tunda Sebastian amewaka ile mbaya na kuhoji kwa nini watu wanamuita chuma ulete kwani ni jina geni kwake na linatokana na ushirikina kwenye biashara. Tunda anayependa kujiachia kwenye…

Tunda akiwa penzini ni kujifungia

PENZI ni tamu kama asali! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya video queen, Tunda Sebastian kueleza kuwa akiwa katika mapenzi mazito hatamani kabisa kutembeatembea na mpenzi wake bali kazi yao inakuwa ni moja tu kujifungia ndani.  Tunda…

Tunda, Bella Kupanda Jukwaa Moja

 MUUZA nyago kwenye video za Kibongo, Tunda Sebastian anatarajiwa kupendezesha usiku wa King of The Best Melodies, Christian Bella ‘Obama’ utakaofanyika Novemba 30, mwaka huu ndani ya Meeda, Sinza jijini Dar. Katika usiku huo…

Tunda Hajui Kubembeleza Mwanaume

MUUZA nyago maarufu kwenye video mbalimbali za wasanii wa Bongo Fleva, Tunda Sebastian amefunguka kuwa, watu wanamuona hawezi kudumu na mwanaume mmoja, lakini ni kwa sababu hapendi kufanyiwa ujinga kisha kunyamaza kama walivyo wanawake…

TUNDA, LYINN VITA MPYAA KWA DIAMOND

MAHABA kama yotee! Kipande cha video kilichosambaa kwenye mitandao ya kijamii kikimuonesha video queen matata wa Bongo, Annastazia Sebastian Kimaro ‘Tunda’ akimkatia mauno staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ imezua vita…

UCHUMBA WA TUNDA, CASTO CHALI

LICHA ya hivi karibuni kujinadi kwamba anampenda mchumba wake na wana malengo kibao, lile penzi la mtangazaji wa Runinga ya Clouds, Casto Dickson na video queen maarufu Bongo, Tunda Sebastian limepiga mwereka chali.  Chanzo makini…

ZARI ALIVYOMNYAMAZISHA TUNDA

MUUZA nyago machachari kwenye video za wasanii Bongo, Tunda Sebastian amefunguka kuwa ameufyata mdomo wake kuzungumzia chochote kuhusu aliyekuwa mpenzi wa Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Zarina Hassan ‘Zari The Boss Lady’ na kudai…

Familia Yamweka Tunda Kitimoto

DAR ES SALAAM: Kufuatia sakata la video akiwa anafanya vitendo vya kimahaba na mume wa mtu, Kinjekitile Kingunge ‘Kinje’ kusambaa mitandaoni hivi karibuni, muuza sura katika video mbalimbali za wasanii wa muziki Bongo, Tunda…

Mobeto, Tunda Vita Mpyaaa!

Ubuyu wa mjini kwa sasa ni vita mpya kati ya mwanamitindo, Hamisa Mobeto na mwanadada anayeuza nyago kwenye video mbalimbali za wasanii wa muziki wa Bongo Fleva, Tunda Sebastian, kisa kikitajwa kuwa ni msanii wa Bongo Fleva ambaye ni…

Tunda na Penzi La Mbunge, Mh!

BAADA ya Dishi Bovu kunasa ubuyu kwamba mwanadada, Tunda Sebastian kuwa anatoka na mbunge mmoja hivi anayemiliki hoteli ya kifahari jijini Dar na kumpangishia ‘apartment’ maeneo ya Tegeta, liliamua kutega antena zake ili…

Tunda Asanukia Ishu ya Kitumbo

DAR ES SALAAM: Muuza nyago machachari Bongo, mwenye kupenda kujiselfisha akiwa kwenye maakuli, Tunda Sebastian amesanukia ishu iliyoenea kwamba, ana kibendi akisema kuwa kilichotokea ni mpangilio mbovu wa menyu ndiyo unamfanya aonekane…

Utoto Wamtesa Tunda Kimapenzi

Boniphace Ngumije| RISASI MCHANGANYIKO| RISASI VIBES UTOTO unaonekana kumtesa muuza sura kwenye video za wasanii wa Kibongo, Tunda Sebastian ambaye licha ya kuwa katika uhusiano wa kimapenzi na mtu mwingine, ameibuka na kudai anampenda…

Tunda Afyatuka Skendo ya Usagaji

Na Mwandishi Wetu/GPL MUUZA nyago kwenye video mbalimbali za wanamuziki wa Bongo Fleva, Tunda Sebastian amefyatuka kuwa, kamwe hawezi kujihusisha na vitendo vya usagaji kama watu wanavyompakazia na analaani vikali kitendo hicho.…