The House of Favourite Newspapers

Hans Pope Amekamatwa na TAKUKURU

MWENYEKITI wa zamani wa Kamati ya Usajili ya Klabu ya Simba, Zacharia Hans Pope,  amekamatwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU) katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam…

Hans Poppe Huyu Hapa

MWENYEKITI wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hans Poppe anatafutwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) ili arudishwe nchini na kujibu tuhuma zinazomkabili.   Kupitia ndugu zake, Championi limempata na kusikia…

Hans Poppe Atema Cheche Simba

Said Ally, Dar es Salaam, Championi Jumatano MWENYEKITI wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hans Poppe, ameibuka na kudai kwamba wapinzani wao wanaowatuhumu kwamba wanatoa rushwa wanakosea kutokana na wao kutumia fedha kwa…

Hans Poppe, msikie Tambwe

Straika hatari wa Yanga, raia wa Burundi, Amissi Tambwe. Mwandishi Wetu Dar es Salaam BAADA ya kuifunga Simba kwa mara ya kwanza katika maisha yake ya soka, straika hatari wa Yanga, raia wa Burundi, Amissi Tambwe, amekataa kujibu kejeli za…