The House of Favourite Newspapers

Billnass Amkana Nandy

BAADA ya mwanadada Faustina Charles Mfinanga ‘Nandy’ kudai kuwa, staa wa Bongo Fleva, William Lyimo ‘Billnass’ atakuwa mmoja wa washiriki wa Tamasha la Nandy Festival 2021, jamaa huyo ameibuka na kukana ishu hiyo.Kwa mujibu wa Nandy,…