The House of Favourite Newspapers

Zahera Atabiri Stars v DR Congo

MWINYI Zahera, aliyekuwa kocha msaidizi ndani ya Timu ya Taifa ya DR Congo, amesema matokeo ya mchezo wa leo wa kuwania kufuzu Kombe la Dunia kati ya Taifa Stars dhidi ya DR Congo, ni 50/50 kutokana na hesabu za timu zote mbili.…