The House of Favourite Newspapers

Kortini kwa kutaka kumuua Lubuva

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu Damian Lubuva. WATU wawili wakiwemo Mwanasheria na Mwalimu, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam wakikabiliwa na mashitaka ya kula njama…

Mjue Jaji Damian Zefrin Lubuva

Na Brighton Masalu CHETI chake cha kuzaliwa, kimeandikwa Damian Zefrin Lubuva. Huyu ni Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi ambaye alizaliwa Septemba 21, 1940 katika Kijiji cha Haubi Wilaya ya Kondoa Mkoa wa Dodoma. ELIMU…

Mchakato wa uchaguzi Bara kuendelea – Lubuva

Jaji Damian Lubuva akiongea na wanahabari (hawapo pichani) leo. MWENYEKITI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva hivi punde amesema kufutwa kwa uchaguzi wa Zanzibar hakutasababisha kuahirishwa au kufutwa kwa uchaguzi wa…

Lubuva: Wananchi msihofu uchaguzi utakuwa wa amani

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Mstaafu Damian Lubuva (katikati) akiwa na makamishna wa tume hiyo wakati akisisitiza jambo kwenye mkutano wake na wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari. Makamishna wa Tume hiyo wakiwa bize…

True Memories Of My life-144

wiki iliyopita niliishia kwamba kauli za Edward Lowassa kwenye runinga zilinifanya nianze kuwa na wasiwasi kwamba vurugu zingeweza kuibuka nchini, maana kauli yake moja tu kwa vijana wa taifa letu ingeweza kusababisha maafa makubwa! SASA…

Kazi Imeanza!

Rais Jakaya Kikwete (kushoto) na rais mteule wa awamu ya tano, Dk John Pombe Magufuli (kulia). ISSA MNALLY NA RICHARD BUKOS JANA, aliyekuwa mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Pombe Magufuli (56)…

Mambo 10 ya kuepuka yanayoweza kuvuruga uchaguzi

MUNGU ni mwema, nitumie nafasi hii kuwakumbusha Watanzania kwamba wakati huu ni kipindi muhimu kuombea taifa letu amani, hasa kipindi hiki cha uchaguzi. Baada ya kusema hayo niseme wazi kuwa mataifa mengi na hasa ya Kiafrika yamekuwa…

Tume ya uchaguzi yasisitiza amani

Jaji Lubuva (kulia) akiwa na baadhi ya maofisa wa tume ya uchaguzi. Baadhi ya waandishi wa  vyombo mbalimbali wakinoti mambo muhimu kwenye mkutano huo. Baadhi ya wadau na viongozi wa vyama vya siasa wakiwa kwenye mkutano huo. Kaimu IGP,…

Saa 94 kabla ya kifo cha mtikila

Elvan Stambuli Ni vigumu kuamini! Mchungaji Christopher Mtikila aliyefariki dunia usiku wa kuamkia jana katika Kijiji cha Msolwa wilayani Bagamoyo, Pwani, Jumatano iliyopita alitembelea ofisi za gazeti hili, Bamaga Mwenge, Dar na kuzungumza…

NEC yaonya wanaotaka kulinda kura vituoni

Mwenyekiti wa Tume, Jaji mstaafu Damian Lubuva. TUME ya Taifa ya Uchaguzi (TUME) imeonya vyama vya siasa, vinavyoshawishi wananchi wabaki katika vituo vya kupigia kura baada ya kupiga kura na kueleza kuwa lengo lao si kwa ajili ya kulinda…

M/kiti wa Tume ya Uchaguzi, shemeji yake Lowassa

Mwenyekiti wa Nec, Jaji mstaafu Damian Lubuva Na Waandishi Wetu Wakati Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) chini ya Mwenyekiti Mwenza, Freeman Mbowe wakilalamikia uteuzi wa makamishna wapya wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec), baadhi ya…

Rais mpya kujulikana ndani ya saa 72 tu

Mwenyekiti wa Nec, Jaji mstaafu, Damian Lubuva Hatimaye Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imefichua siku itakayomtangaza rasmi mshindi wa nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa ni Oktoba 28, 2015. Akizungumza na…