The House of Favourite Newspapers

Wasifu wa CDF Jenerali Mabeyo JWTZ

Jenerali Venance Mabeyo ni Mkuu wa Majeshi wa nane kuliongoza Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania tangu alipoteuliwa Februari 6, 2017 na aliyekuwa Rais na Amiri Jeshi Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa awamu ya tano, Hayati…

Waliofukuzwa JKT Wasamehewa

MKUU wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Jenerali Venance Mabeyo, amewasamehe vijana 853 wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) waliofukuzwa makambini April 12, 2021 kutokana na utovu wa nidhamu. Hayo yameelezwa katika mkutano wa waandishi wa…