The House of Favourite Newspapers

Gonjwa Tishio la Wanawake Latajwa

WAKATI Serikali ikiendelea kuwapatia chanjo ya kuzuia saratani ya shingo ya kizazi (HPV) mabinti wenye miaka tisa hadi 14; imebainika kuwa saratani hiyo ndio tishio zaidi kwa kusababisha vifo vya wanawake tisa kati ya 10…