The House of Favourite Newspapers

Mke: Mtikila alikabwa koo hadi kufa

ELVAN STAMBULI NA MAKONGORO OGING Dar es Salaam Asimulia mazito tena, apeleka waraka kwa rais Magufuli Georgia Mtikila: “Nguo zake alizovaa siku aliyofariki dunia, hazijulikani zilipo, waliotuma picha za maiti mtandaoni, washindwa…

Familia: Kadi ya benki ya Mtikila imeibwa

Mwenyekiti wa Chama cha Democratic (DP), Mchungaji Christopher Mtikila. Na Haruni Sanchawa KUFA kufaana? Tukio la ajali lililosababisha kifo cha aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Democratic (DP), Mchungaji Christopher Mtikila (pichani)…

DP: Mtikila aliawa kabla ya ajali

Marehemu Mch. Christopher Mtikila Na Waandishi Wetu MAPYAA! Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrati (DP), Abdul Juma Mluya ameibuka na kusema mazingira ya kifo cha aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho, Mchungaji Christopher Mtikila yamejaa…

Kikwete, Bilal, Maalim Seif wamuaga Mtikila

https://www.youtube.com/watch?v=39qWkNqpk7M Picha ya Mch. Mtikila enzi za uhai wake. Jeneza la mwili wa Mchungaji Mtikila likishushwa viwanja vya Karimjee kwa kuagwa. Mwili ukiwa katika jeneza tayari kwa kuagwa. Rai wa…

Mwili wa Mch. Mtikila wawasili Karimjee kuagwa

Mchungaji Christopher Mtikila enzi za uhai wake. MWILI wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Democratic (DP), Mchungaji Christopher Mtikila tayari umewasili kwenye Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuagwa na wananchi.…

Lowassa kumzika Mtikila

Mgombea urais kwa tiketi ya Chadema kupitia mwamvuli wa Ukawa, Edward Lowassa. Mwandishi Wetu MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chadema kupitia mwamvuli wa Ukawa, Edward Lowassa, anatarajia kuhudhuria mazishi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha…

Maswali 10 tata kifo cha Mtikila!

Na Waandishi Wetu BASI tena! Kifo cha ajali ya gari cha aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia (DP) na Kiongozi wa Kanisa la Full Salvation, Mchungaji Christopher Mtikila kimewaacha wananchi na majonzi makubwa lakini nyuma yake,…

Mtikila; shujaa aliyekufa akipambana

BAADHI ya watu walimtafsiri Mwenyekiti wa Chama cha Democrat (DP) na Mchungaji wa Kanisa la Full Salvation, Christopher Mtikila kama hazimtoshi f’lani hivi. Lakini siku zote fikra ni utumwa wa mtu mwenyewe. Sikuwahi kuwashangaa…

Taarifa ya polisi kuhusu kifo cha mchungaji Mtikila

Marehemu Christopher Mtikila enzi za uhai wake. TAARIFA YA POLISI KUHUSU KIFO CHA MCHUNGAJI MTIKILA Mnamo tarehe 04/10/2015 majira ya saa 05:45hrs huko Msolwa Kata ya Bwilingu barabara kuu ya Dar es Salaam – Morogoro, Wilaya ya Ki-Polisi…

Taswira za msiba nyumbani kwa Mtikila

Sehemu maalum iliyoaandaliwa kwa ajili ya wageni kuandikisha majina yao. Rafiki wa karibu wa marehemu Mch. Christoppher Mtikila, Anyambilile Mwakatole akizungumza na wanahabari msibani hapo. Ndugu, jamaa na marafiki wakilia kwa hudhuni…

‘Mtikila ameuawa’

Na Mwandishi Wetu KIFO cha Mchungaji Christopher Mtikila (65) aliyezaliwa mwaka 1950, kimezua utata ambapo baadhi ya watu wa karibu na mwanasiasa huyo wanadai kwamba ‘ameuawa’. Gari alilokuwa mchungaji Mtikila wakati wa ajali.…

Vilio vyatawala nyumbani kwa mtikila!

Haruni Sanchawa SIMANZI, vilio na huzuni vimetawala nyumbani kwa Mwenyekiti wa Chama cha Democratic (DP), Mchungaji Christopher Mtikila mara tu baada ya familia yake kupokea taarifa za kifo chake kilichotokea usiku wa kuamkia jana katika…

Saa 94 kabla ya kifo cha mtikila

Elvan Stambuli Ni vigumu kuamini! Mchungaji Christopher Mtikila aliyefariki dunia usiku wa kuamkia jana katika Kijiji cha Msolwa wilayani Bagamoyo, Pwani, Jumatano iliyopita alitembelea ofisi za gazeti hili, Bamaga Mwenge, Dar na kuzungumza…

Tanzia: Mchungaji Mtikila afariki kwa ajali Chalinze

Mch.Christopher Mtikila. Mwanasiasa mashuhuri nchini na Mwenyekiti wa Chama Cha Democratic Party (DP), Mchungaji Christopher Mtikila amefariki dunia na watu wengine watatu kujeruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea katika Kijiji cha Msolwa…

Gwajima; Halima Mdee Njia Panda

JIMBO la Kawe linawaka moto hivi sasa kwa kampeni za kukata na shoka, kati ya mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima na mgombea wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Halima…

Magufuli amaliza kazi

Na Richard Bukos, Pwani MGOMBEA Urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, (pichani) amemaliza kazi huku akitarajia kumwaga sera za mwisho katika Viwanja vya Jangwani jijini Dar es Salaam kabla ya kesho kuhitimisha fainali…

Mtabiri: Vifo vya wabunge bado vipo!

Mtabiri bingwa na mtaalam wa nyota Afrika Mashariki, Maalim Hassan Yahya. Gladness Malya na Gabriel Ng’osha DUH! Mtabiri bingwa na mtaalam wa nyota Afrika Mashariki, Maalim Hassan Yahya amesema vifo vya watu maarufu na wanasiasa bado vipo…

Mtabiri:  Lowassa, Magufuli Wako Salama

Edward Lowassa Na Mwandishi Wetu MTABIRI maarufu nchini, Maalim Hassan Yahya Hussein, amesema utabiri wake alioutoa mwaka 2014 kwamba mgombea urais mmoja atafariki dunia ghafla kabla ya uchaguzi, umetimia baada ya kifo cha Mchungaji…

Usilie eti umri unakwenda huolewi

NI Jumanne tena, mikikimikiki ya siasa ndiyo habari ya nchi kwa sasa. Pole nyingi kwa familia ya Christopher Mtikila kwa kuondokewa na mwanasiasa huyo maarufu nchini. Mada yangu ya leo ni; usilie eti umri unakwenda huolewi’. Kilio cha…

M/kiti wa Tume ya Uchaguzi, shemeji yake Lowassa

Mwenyekiti wa Nec, Jaji mstaafu Damian Lubuva Na Waandishi Wetu Wakati Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) chini ya Mwenyekiti Mwenza, Freeman Mbowe wakilalamikia uteuzi wa makamishna wapya wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec), baadhi ya…