Profesa Kabudi: Hayati Nyerere Amefariki Ila Amegoma Kufa – Video
Mbunge wa Kilosa, Palamagamba Kabudi, ameshauri kuwa ndege kubwa ya Dreamliner iliyonunuliwa na inatarajiwa kufika nchini hivi karibuni ipewe jina la Julius Nyerere Kazi Iendelee ili kumuenzi Baba wa Taifa kwa kazi kubwa aliyoifanya.…