The House of Favourite Newspapers
Tags:

Rachel Siwezi Ku-date na Msanii

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Winifrida Joseph ‘Rachel’ amesema katika maisha yake, hajawahi na wala hatarajii kutoka kimapenzi na msanii, kwa sababu ana wivu usio wa kawaida. Akizungumza na AMANI, Rachel ambaye anadaiwa kuwa na…

Kisa Shiti, Rachel Povu Kama Lote

MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Winifrida Joseph ‘Rachel’ amewatolea povu baadhi ya mashabiki wanaokomenti shiti kwenye mitandao ya kijamii. Akizungumza na Amani, Rachel amesema amekuwa akisikitishwa na komenti za aina hiyo ambazo…

Kampuni ya Mdundo Yaweka Rekodi

KAMPUNI bora ya huduma za mziki mtandaoni ya Mdundo Records imeweka rekodi ya kipekee Barani Afrika baada ya kufikisha idadi ya watumiaji milioni 16.4 kipindi cha robo tatu cha mwaka wa 2021, kilichoishia Septemba mwaka huu. …

Ajeruhi Mtoto kwa Kisu Kisha Kujiua

Shija Mwanzalima (30) amemchoma na kisu tumboni mtoto wake wa kambo Rachel Erasto (3), kisha kujichoma na kisu sehemu mbalimbali za mwili wake na kujinyonga mpaka kufa, baada ya kugundulika ameathirika na Virusi vya Ukimwi peke yake…

Wema wa Buguruni Afunga Mtaa

MWANADADA Rachel Said maarufu kama Wema wa Buguruni, mkazi wa Buguruni Rozana, jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki iliyopita alifunga mtaa baada ya kufanya sherehe yake ya kuzaliwa (bethidei). Sherehe hiyo iliyofunga…

Mambo 6 Miaka 30 ya Wema

MSANII na nyota wa filamu nchini Tanzania, Wema Sepetu siku ya leo Septemba 29 anatimiza miaka 30, ambapo kupitia instagram yake amepost picha mbalimbali zikimuonesha kujipongeza, haya hapa ni mambo sita ya kufahamu kuhusu siku yake hii…

CCM Walivyotesti Mitambo Mitaa ya Dodoma Leo

Wafuasi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo walionesha jeuri ya chama chao wakati wakifanya maandalizi ya kumpokea Mwenyekiti wa Chama hicho na Mgombea Uraisi, Dkt John Pombe Magufuli anayetarajiwa kuzindua kampeni za chama hicho hapo kesho.…

NAMTAMANI RAY C HUYU !

KUNA wakati unaweza kutamani kurudisha nyakati nyuma lakini siyo jambo rahisi. Kamwe huwezi kurudisha siku zilizopita.  Lakini ni rahisi sana kuvuta kumbukumbu ya kilichotokea nyuma. Mwanamuzuki wa Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’…

UWOYA NOMA AWAKALISHA WEMA, AUNT

HII ni noma! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya staa wa filamu za Kibongo, Irene Uwoya kufanya kufuru ya aina yake na kuwakalisha mastaa wenzake, Wema Sepetu na Aunt Ezekiel. UWOYA ameonekana kuwakalisha Wema na Aunt baada…