The House of Favourite Newspapers

Said wa Scorpion Kufikishwa Kortini

SAKATA la Said Mrisho aliyedaiwa kutobolewa macho na Salum Njwete ‘Scorpion’ na mkewe Stara Sudy, linatarajiwa kufikishwa mahakamani baada ya kushindwa kuelewana ngazi ya Ustawi wa Jamii. Said na mkewe waliingia kwenye bifu zito siku…

Hofu Yatanda Walipo Mastaa Hawa!

MIONGONI mwa sintofahamu inayoendelea ni kutojulikana alipo aliyekuwa staa wa Bongo Movies, Mikalla aliyeng’ara kwenye Filamu ya The Lost Twins akitumia jina la Anita; filamu iliyoandaliwa na aliyekuwa kinara wa tasnia hiyo, marehemu…