×

Habari

Vyuo Vikuu Maarufu Kutoka Malaysia Kutua Tanzania Kwa Maonesho Makubwa ya Elimu

Tanzania inatarajiwa kupokea ujumbe mkubwa wa viongozi wa elimu ya juu kutoka Malaysia, wakiwemo viongozi kutoka Wizara ya Elimu ya...

READ MORE

Kampeni ya ‘Kutoa ni Moyo’ Yazinduliwa Kuokoa Watoto Wenye Matatizo ya Moyo

Heart Team Africa Foundation (HTAF) kwa kushirikiana na Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), wamezindua rasmi kampeni ya kitaifa...

READ MORE

Mchungaji Peter Msigwa Atangaza Kurejea Tena Chadema, Afunguka Mapya – Video

Mchungaji Peter Msigwa ambaye aliwahi kuwa mwanachama na kiongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kabla ya kuhamia Chama...

READ MORE

Video: Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Awaka Kisa Matukio ya Utekaji Nchini

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amekemea vitendo vya utekaji akieleza kuwa ni njama na michezo ya kuwagombanisha wananchi na serikali...

READ MORE

Trump Afunguka Ugumu wa Kuhudhuria Harusi ya Mwanaye Katika Kisiwa cha Bahamas

Rais wa Marekani Donald Trump amesema huenda asihudhurie harusi ya mtoto wake mkubwa, Donald Trump Jr (48), kutokana na majukumu...

READ MORE

Mke wa Zamaini wa Donald Trump Jr Apatikana na Saratani ya Matiti

Vanessa Trump, aliyewahi kuwa mke wa Donald Trump Jr, amethibitisha kupatikana na ugonjwa wa saratani ya matiti kupitia taarifa aliyochapisha...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Mei 23, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...

READ MORE

Yanga Yarudi Kileleni Baada ya Ushindi Mnono wa 3-0 Dhidi ya Singida Black Stars

Yanga wamefanikiwa kurejea kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya kupata ushindi mnono wa mabao 3-0...

READ MORE

Video: Makonda Afunguka Sababu ya Rio Ferdinand Kutoposti Mitandaoni Akiwa Tanzania

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda amesema alimwomba mwanasoka wa zamani wa kimataifa kutoka Uingereza na Manchester...

READ MORE

Halmashauri ya Wilaya ya Njombe Yatangaza Fursa za Uwekezaji

Halmashauri ya Wilaya ya Njombe kwa kushirikiana na Kituo cha Ubia baina ya Serikali na Sekta Binafsi (PPPC) inakualika kuwekeza...

READ MORE

Iran Yakataa Kusafirisha Uranium Yake Nje, Mazungumzo na Marekani Yaingia Dosari

Iran imekataa kusafirisha nje akiba yake ya uranium iliyorutubishwa kwa kiwango cha juu, hatua inayoweza kuongeza mvutano katika mazungumzo ya...

READ MORE

Rio Ferdinand Apongeza Viwango vya Kimataifa vya Uwanja wa Arusha

  Nyota wa zamani wa mpira wa miguu wa timu ya Taifa ya Uingereza na Klabu ya Manchester United Rio...

READ MORE

Mafwele Azuiwa Kuingia Marekani kwa Tuhuma za Ukiukwaji wa Haki za Binadamu – Video

Serikali ya Marekani kupitia Ubalozi wake nchini Tanzania, leo Mei 22, 2026 imetangaza kumuwekea vikwazo Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Tanzania...

READ MORE

Tumaini Jipya kwa Watoto UMRA Baada ya Msaada wa Meridianbet

Kampuni ya Meridianbet imeendelea kuwa mfano wa kampuni zinazojali jamii baada ya kutoa msaada wa vyakula kwa watoto wa kituo...

READ MORE

Marekani Yaipa Iran Onyo Kali Kuhusu Hormuz, Yakataa Kutoza Ushuru

Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Marco Rubio amesema makubaliano ya kidiplomasia kati ya Marekani na Iran hayatakuwa na...

READ MORE

Polisi Wafunguka Sakata la David Jumbe Uchunguzi Bado Unaendelea – Video

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limetoa taarifa kuhusu sakata la David Joseph Mghanja maarufu Djumbe, kufuatia...

READ MORE

Rio Ferdinand Avutiwa Na Utalii Wa Serengeti, Ajionea Uhamaji Wa Nyumbu Na Simba Kwa Ukaribu

Nyota wa zamani wa Klabu ya Manchester United na timu ya Taifa ya Uingereza, Rio Ferdinand akiwa na Waziri wa...

READ MORE

Chadema Yaeleza Sakata la David Jumbe Baada ya Kupatikana Akiwa na Pingu – Video

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeeleza taarifa mpya kuhusu msaidizi wa mwenyekiti wake, Tundu Lissu, David Jumbe, kufuatia madai...

READ MORE

Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani Watangaza nafasi Kazi Udereva

Ubalozi wa Tanzania Marekani umetangaza nafasi mpya ya ajira kwa Dereva wa Ndani (Local Based Driver) kwa mwezi Mei 2026....

READ MORE

Waziri Mkuu Atatua Mgogoro Wa Ardhi Uliodumu Kwa Miaka 51 Wilayani Rombo

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba ametatua mgogoro wa ardhi kati ya Parokia ya Mtimhoo ya Kanisa Katoliki Jimbo la Moshi...

READ MORE

Rais wa Syria Amshukuru Trump kwa Zawadi ya Manukato ya Bei Kubwa

Rais wa Syria Ahmed Al-Sharaa amemshukuru Rais wa Marekani Donald Trump kwa kumtumia zawadi ya manukato ya bei kubwa ya...

READ MORE

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Alivyokutana na Rio Ferdinand Dodoma

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba Mei 20, 2026 amefanya mazungumzo na Nahodha na Mchezaji wa zamani na wa Timu ya...

READ MORE

Mambo ya Kuzingatia Kabla Hujaamua Kumtoa ‘out’ Umpendaye

Shukrani za kipekee zimuendee Mungu kwa kutuwezesha kuiona salama siku ya leo, ni matumaini yangu kwamba msomaji wangu uko vizuri...

READ MORE

Wateja wa Exim Kuangalia Salio na Kutuma Fedha Kupitia WhatsApp

Dar es Salaam, Tanzania – 21 May 2026: Benki ya Exim Tanzania hii leo imezindua huduma yake ya Exim WhatsApp...

READ MORE

Rio Ferdinand Atembelea Bunge la Tanzania Katika Ziara ya Michezo na Utalii

Rio Ferdinand, nahodha na mchezaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya Uingereza pamoja na Klabu ya Manchester United, leo...

READ MORE

Video: Meli za Mafuta Zapita Hormuz Wakati Mazungumzo ya Amani Yakiendelea

Meli mbili kubwa za China zilizobeba mafuta zimeonekana zikitoka katika Mlango wa Hormuz, hatua ambayo imeongeza matumaini ya kupungua kwa...

READ MORE

Rais Samia Afanya Uteuzi wa Majaji wa Mahakama ya Rufani

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Majaji wa Mahakama ya Rufani. Aidha,...

READ MORE

Muhoozi Ataka Rolls Royce Ya Spika wa Bunge Iuzwe Kwa Mnada

Mkuu wa Majeshi ya Uganda, Muhoozi Kainerugaba, amesema anataka gari la kifahari aina ya Rolls Royce Cullinan linalodaiwa kumilikiwa na...

READ MORE

Bibi Wa Miaka 70 Ampongeza Rais Samia, Akitoa Ushuhuda Wa Daraja la JP Magufuli

Bibi Hellen Bugoye mwenye umri wa miaka 70 kutoka Kisesa wilayani Magu mkoani Mwanza amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano...

READ MORE

RC Chalamila Atoa Ahadi ya Donge Nono Kwa Dar City

MKuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila ametoa ahadi ya milioni 50 kwa Dar City Basket Team...

READ MORE

Gwiji Wa Soka Rio Ferdinand Aelekea Dodoma Kwa Treni ya Kisasa ya SGR

Gwiji wa soka duniani, Rio Ferdinand, ameendelea na ratiba yake hapa nchini ambapo leo Mei 20, 2026 ameelekea jijini Dodoma...

READ MORE

CCM, CPC Na Vyama Vya Ukombozi Afrika Waimarisha Ushirikiano Wa Maendeleo

Mkutano huo chini ya wenyeji wa Chama Cha Mapinduzi, ulikuwa sehemu ya ziara ya kikazi ya Komredi Liu Haixing, Mjumbe...

READ MORE

Tazama Shangwe la Mashabiki wa Arsenal Baada ya Kusubiri kwa Miaka 22 – Picha 13

Mashabiki wa usiku wa kuamkia leo Mei 20, 2022 wamejaa kwenye baa, vilabu na mitaa mbalimbali kusherehekea ubingwa baada ya...

READ MORE

TANESCO Kinondoni Kusini Yakutana na Wateja Kujadili Huduma

SHIRIKA la Umeme Tanzania(TANESCO) Mkoa wa Kinondoni Kusini jijini Dar es Salaam limewakumbusha wateja wake hasa wateja wakubwa kuhakikisha wanalipa...

READ MORE

Mwanza Yazidi Kuwa Kitovu cha Biashara Baada ya Airtel Kuzindua Smart Shop

Airtel Tanzania imezindua Duka la Kidijitali (Smart Shop) katika Mkoa wa Mwanza, hatua inayolenga kusogeza karibu zaidi huduma za mawasiliano,...

READ MORE

Putin Atua China Kibabe, Rais Xi Jinping Ampokea Kufanya Mazungumzo ya Kijeshi – Video

Rais wa China, Xi Jinping amemkaribisha Rais wa Urusi, Vladimir Putin Beijing katika mkutano maalum uliolenga kuimarisha uhusiano wa nchi...

READ MORE

Wafanyabiashara Dodoma Wapewa Mafunzo Ya Ujasiriamali Na Nishati Safi

Dodoma, Tanzania, Jumanne 19 Mei 2026: Stanbic Bank Tanzania, kupitia Stanbic Biashara Incubator, kwa kushirikiana na Shirika la Maendeleo la...

READ MORE

Gawio Nmb Lapaa: Wanahisa Kula Neema ya Sh Bilioni 305

  NMB Bank Plc imeweka rekodi mpya katika sekta ya benki nchini baada ya kupendekeza gawio la takribani Sh bilioni...

READ MORE

TET Yataka Elimu Iendane na Mahitaji ya Dunia ya Sasa

  Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Elimu Tanzania (TET), Dkt. Aneth Komba, amezitaka taasisi za elimu ya juu nchini kuhakikisha...

READ MORE

CMSA Yaipongeza Kampuni ya EFTA, Mauzo ya Hati Fungani Yapata Mafanikio Makubwa

  MAMLAKA ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA) imepongeza uamuzi wa Bodi na Menejimenti ya Kampuni ya Equity For...

READ MORE