×

Habari

Depú Akaribia Kuachana na Yanga? Petro de Luanda Yajitokeza

DAR ES SALAAM: Klabu ya Yanga SC imemweka sokoni mshambuliaji wake wa kimataifa wa Angola, Laurindo Dilson Maria Aurélio maarufu...

READ MORE

Diddy Aongezewa Muda wa Kukaa Gerezani Baada ya Kuzua Ugomvi

Msanii na mfanyabiashara maarufu wa muziki Sean ‘Diddy’ Combs ataendelea kutumikia kifungo chake kwa muda mrefu zaidi baada ya mamlaka...

READ MORE

Infantino Aitisha Mkutano wa Dharura wa FIFA Morocco leo

RABAT, Morocco: Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), Gianni Infantino, anatarajiwa kuongoza mkutano wa dharura na viongozi waandamizi wa...

READ MORE

Meridianbet Yazindua Mystery Multiplier Drop Yenye Zawadi za Hadi Bilioni 12

Meridianbet imeendelea kuthibitisha kuwa kinara wa burudani za ubashiri na kasino kwa kuzindua promosheni mpya inayobeba msisimko wa kipekee, Mystery...

READ MORE

Salah Kutua Uturuki leo Kukamilisha Uhamisho Trabzonspor Baada ya Kuondoka Liverpool

ISTANBUL: Klabu ya Trabzonspor ya Uturuki imethibitisha kuwa ipo kwenye mazungumzo ya kumsajili nyota wa Misri, Mohamed Salah, huku ikitangaza...

READ MORE

Wamiliki Vituo vya Malezi Wahimizwa Kuajiri Walezi Wenye Taaluma

Wamiliki wa vituo vya kulelea watoto nchini wametakiwa kuwekeza katika mafunzo ya kitaalamu kwa walezi ili kuboresha huduma za malezi...

READ MORE

A – Z: Biashara Ya Mafuta Ya Magendo Inavyofanyika Tanzania, Bandari Bubu Hatari Zatajwa – Video

Uchunguzi uliofanywa na Global TV kupitia makala yake maalum umeweka wazi ukweli unaoshtua kuhusu biashara ya mafuta ya kula ya...

READ MORE

Israel Yasimamisha Mpango wa Kutumia Mamba wa Nile Kama Walinzi wa Gereza

Mahakama ya Israel imetoa amri ya muda ya kusimamisha mpango wa kutumia mamba wa mto Nile kama sehemu ya ulinzi...

READ MORE

Iran Yakanusha Vikali Taarifa za Rais Pezeshkian Kujiuzulu

Ofisi ya Rais wa Iran imekanusha vikali taarifa zinazosambaa zikidai kuwa Rais Massoud Pezeshkian amejiuzulu, ikizitaja kuwa ni za uongo...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Agosti 5, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...

READ MORE

Vijana Wenye Ndoto za Masoko, Hii Ndio Nafasi Yenu Global TV

FURSA YA INTERNSHIP – SALES & MARKETING  GLOBAL TV ONLINE inawakaribisha vijana wenye ndoto za kujenga taaluma katika eneo la...

READ MORE

Polisi Dar Wakamata Watuhumiwa 83, Wabaini Mtandao wa Simu za Wizi

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewakamata watuhumiwa 83 kwa tuhuma za kuhusika na makosa mbalimbali ya...

READ MORE

Mkazi wa Vikindu Ajishindia Milioni 50 Kupitia Mixx, Atimiza Ndoto ya Kujenga Kituo cha Afya

Dar es Salaam, Agosti 4, 2026 – Ndoto ya mkazi wa Vikindu, Mohammed Misanga, ya kuboresha huduma za afya katika...

READ MORE

Simba Yaizima Al Merrikh Kwa Mabao 2-0 Mchezo wa Kirafiki Kigali

Klabu ya Simba SC imeendeleza maandalizi yake kuelekea msimu wa 2026/27 kwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya...

READ MORE

Vodacom Yazindua Kampeni ya “Zaidi ya Mtandao”, Yaahidi Kuwezesha Fursa Zaidi kwa Watanzania

Dar es Salaam, Agosti 4, 2026 – Vodacom Tanzania Plc imezindua rasmi kampeni mpya ya “Zaidi ya Mtandao” (More Than...

READ MORE

Dinamo Zagreb Watafuta Faida ya Nyumbani Dhidi ya Kauno Žalgiris Kufuzu Ligi ya Mabingwa Ulaya

Dinamo Zagreb watapokea wageni FK Kauno Žalgiris Jumanne, Agosti 4, 2026, saa tatu usiku (21:00), katika mchezo wa kwanza wa...

READ MORE

Ushirikiano Imara Unaendesha Mustakabali wa Kilimo Tanzania

Kila tarehe 8 Agosti, Tanzania huadhimisha Nane Nane kwa kutambua mchango wa wakulima katika kulisha taifa, kuimarisha maisha ya wananchi...

READ MORE

Shalulile: Kuondoka Mamelodi ni kama Ronaldo Alivyoondoka Real Madrid – Video

Mshambuliaji mpya wa Yanga, Peter Shalulile, amesema uamuzi wake wa kuondoka Mamelodi Sundowns na kujiunga na mabingwa hao wa Tanzania...

READ MORE

Meridianbet Yazindua Mashindano ya Spin for Glory, Washindi 20 Kugawana TSh Milioni 3

Mashabiki wa kasino mtandaoni sasa wana sababu mpya ya kutabasamu baada ya Meridianbet kuzindua mashindano ya kusisimua ya Spin for...

READ MORE

Usiiache Biashara Yako Ijifiche, Ifikishe kwa Wateja Wengi Kupitia Global TV – Video

Katika dunia ya ushindani wa kibiashara, kuonekana ni hatua muhimu ya kufikia mafanikio. Makampuni makubwa duniani yanawekeza kila siku kwenye...

READ MORE

Airtel Yaunganisha Wadau wa Biashara Kupitia Mashindano ya Gofu Arusha

Arusha, Agosti 4, 2026 – Airtel Tanzania imeendelea kuimarisha uhusiano wake na wateja pamoja na wadau wa biashara kupitia mashindano...

READ MORE

Ariana Grande Ajiondoa Kwenye Tamasha la London, Aeleza Sababu

Mwimbaji maarufu wa Marekani, Ariana Grande, anatarajiwa kupunguza shughuli zake za kikazi na kuonekana hadharani baada ya kukamilisha ziara yake...

READ MORE

UEFA Kuchukua Hatua Dhidi ya Mpango wa FIFA wa Kuuza Hisa za Kombe la Dunia

Shirikisho la Soka barani Ulaya (UEFA) limetishia kuchukua hatua za kisheria dhidi ya mpango uliokuwa ukipendekezwa na Rais wa FIFA,...

READ MORE

Madaktari Waandika Historia, Wamfanyia Mtoto Upasuaji Kabla ya Kuzaliwa

Madaktari wamefanikiwa kufanya upasuaji wa nadra na wa aina yake kwa mtoto ambaye alikuwa bado hajazaliwa, hatua iliyolenga kurekebisha tatizo...

READ MORE

TWCC Yasaini Tamko la Serikali na Sekta Binafsi Kwa Dira ya Taifa 2050

Chemba ya Wanawake Wafanyabiashara Tanzania (TWCC) ni miongoni mwa taasisi za sekta binafsi zilizotia saini Tamko la Pamoja kati ya...

READ MORE

Mkurugenzi wa Stanbic Bank Tanzania Kushiriki Mkutano wa Kimataifa wa Miundombinu Afrika

Dar es Salaam, Agosti 4, 2026 – Mkurugenzi Mtendaji wa Stanbic Bank Tanzania, Manzi Rwegasira, anatarajiwa kuungana na viongozi wa...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Agosti 4, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...

READ MORE

Dalili za Kiharusi cha Ubongo Kila Mtu Anapaswa Kuzijua

Ubongo wa mwanadamu ni kiungo muhimu ambacho kinategemea usambazaji wa damu unaoendelea. Kutatizika kwa mtiririko wa damu kunaweza kukata oksijeni...

READ MORE

Rais Samia: Serikali Haitatoa Ruzuku kwa Sekta ya Madini, Amani Ni Msingi wa Dira 2050 – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali haitatoa ruzuku kwa sekta ya madini kwa...

READ MORE

Mashahidi Wanane Kutoa Ushahidi Katika Kesi ya Mkwepu

Mfanyabiashara na aliyekuwa Mwenyekiti wa Eneo la Goba, Shafii Mkwepu, amekana mashtaka yanayomkabili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar...

READ MORE

Mnyika: Afya ya Lissu Gerezani Siyo Nzuri, Awaomba Watanzania Kumuombea – Video

Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Mnyika, amesema hali ya kiafya ya Mwenyekiti wa chama hicho,...

READ MORE

Iran Yafichua Sababu ya Kutotoa Sauti ya Kiongozi Wao Mojtaba Khamenei – Video

Gazeti la Hamshahri, linalomilikiwa na Manispaa ya Tehran, limedai kuwa sababu ya kutotolewa kwa sauti ya Kiongozi mpya wa Jamhuri...

READ MORE

Jungle Temple Yawasili Meridianbet, Wachezaji Wapelekwa Kwenye Dunia ya Hazina za Siri

Mashabiki wa Meridianbet kasino wamepokea sababu mpya ya kujaribu bahati yao baada ya uzinduzi rasmi wa Jungle Temple, mchezo mpya...

READ MORE

Trump Afunguka Saudi, Qatar na UAE Walivyomshawishi Kusitisha Mashambulizi Dhidi ya Iran

Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema ameahirisha mpango wa kuanzisha mashambulizi mapya dhidi ya Iran baada ya kushauriwa na viongozi...

READ MORE

Bilioni 2 Zasubiri Mshindi: Meridianbet Yazindua Diamond Jackpot ya Mechi 14

Meridianbet wamekuletea bonge la Jackpot ambapo Shilingi Bilioni 2 kuwania wikendi hii. Hii ni Diamond Jackpot ambayo kwa dau la...

READ MORE

Mambo 10 Muhimu Ya Kuzingatia Ukiagiza Gari Nje Ya Nchi, Usifanye Makosa!

Kuagiza gari lililotumika kutoka nje ya nchi ni mchakato unaohitaji uangalifu mkubwa ili kuhakikisha unakidhi sheria, kodi, na taratibu za...

READ MORE

Waigizaji 7 Waliowahi Kuigiza Kama Wapenzi wa Zendaya Kwenye Filamu na Tamthilia

Mwigizaji maarufu wa Marekani, Zendaya, amekuwa na nafasi nyingi za kuonyesha mapenzi kwenye skrini akiwa na waigizaji mbalimbali wakubwa Hollywood....

READ MORE

Angalia Maajabu Ya Mazda CX‑50 Toleo la Kipekee Kwenye Macho!

Kama unatafuta SUV yenye muundo wa kuvutia, nguvu za barabarani, na teknolojia ya kisasa, basi Mazda CX‑50 ni chaguo lisilo...

READ MORE

Serikali Kuangalia Fursa Za Mikopo Kwa Wanaosoma Kozi Fupi – Waziri Mkuu

Waziri Mkuu wa Tanzania, Mwigulu Nchemba, amesema Serikali itachunguza uwezekano wa kutoa mikopo kwa vijana wanaosoma kozi za muda mfupi...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Agosti 3, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...

READ MORE