Kidoa: Wasichana Wengi Waliofanikiwa wametokea Uswahilini
MSANII wa fil amu ambaye pia alikuwa muuza sura kwenye video za Kibongo, Asha Salum ‘Kidoa’ amejisifu kukulia uswahilini na kusema kuwa wasichana wengi ambao maisha yao wamekulia huko ndiyo wanaofanikiwa kimaisha.
Kidoa alisema kuwa,…