The House of Favourite Newspapers
Browsing Tag

Chid Benz

Chid Benz Adakwa na ‘Unga’

NGULI WA wa Hip Hop nchini Rashid Makwiro 'Chid Benz anashikiliwa tena  na jeshi la polisi mkoani Dodoma kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya na hii inakuwa mara ya tatu kwa msanii huyu kukumbwa na sakata hili.…

‘Kinachomtesa Chid ni hiki!’

MTAALAM wa saikolojia, Mkang’u Lyadunda amesema kinachomtesa staa wa Hip Hop, Rashid Makwiro ‘Chid Benz’ ni kutopata tiba sahihi baada ya kutoka ‘sober house’. Lyadunda aliiambia Over Ze Weekend kuwa, mkali huyo amejikuta akirudia…

CHID BENZ: ISHU YA MADAWA NI KIKI?

MWANZONI mwa mwezi Julai, mwanamuziki mwenye jina kubwa kwenye tasnia ya Muziki wa Hip Hop, Bongo, Rashid Makwiro ‘Chid Benz’ alifanya ‘media tour’ kuutambulisha wimbo wake mpya uitwao Muda akiwa na Abubakar Katwila ‘Q Chillah’,…

CHIMBO LA MASTAA WABWIA UNGA LANASWA

HILI ni janga! Miezi kadhaa baada ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuchimba mkwara mzito kwa watumiaji na wauzaji wa madawa ya kulevya, juzikati limebainika chimbo ambalo baadhi ya mastaa Bongo hufika kwa ajili ya kupata…

Chid Benz Apelekwa Kuishi Zenji

STORI: ALLY KATALAMBULA | GAZETI LA AMANI | DAR ES SALAAM DAR ES SALAAM: Siku chache baada ya kusemekana amepona kutoka kwenye utumiaji uliopitiliza wa madawa ya kulevya ‘unga’ hadi kuwa teja, mkongwe wa Bongo Fleva, Rashidi…