The House of Favourite Newspapers
Browsing Tag

Dogo Janja

Dogo Janja Ampa Heshima Madee

Rapa  kutoka kiwanda cha Hip Hop Abdul Chande ‘Dogo Janja’, amempa heshima mwanamuziki Hamadi Ali ‘Madee’ kuwa ni mbali na kazi ni kama Baba kwake. Akizungumza na Risasi Vibe, Dogo Janja amesema kuwa, Madee ni mtu ambaye…

Uwoya, Dogo Janja Kimenuka Insta!

Sintofahamu katika ndoa ya mastaa wawili bongo, Mwanamuziki Abdulaziz Chende 'Dogo Janja' na Muigizaji Irene Uwoya hali inaonekana kuzidi kuchafuka zaidi kutokana na wanandoa hao kuweka maneno ya vijembe kwenye kurasa zao za kijamii…

UWOYA AAPA KUTOOLEWA TENA!

KIAPO! Mkali wa filamu za Kibongo, Irene Uwoya ameapa mbele ya Gazeti la Ijumaa Wikienda kwamba hataki tena kusikia kitu kuolewa kwenye maisha yake. Uwoya alisema kuwa amefikia kwenye uamuzi huo kwani aliyokutana nayo ndani ya ndoa…

UGONJWA WA DOGO JANJA UWOYA ATAJWA

UKURASA wa maisha ya ndoa ya Dogo Janja na Irene Uwoya uko wazi, unasomeka mengi wanayoyapitia mastaa hao; kubwa kabisa ni kwamba hawaelewani.  Uwoya alipoposti picha mitandaoni hivi karibuni kuonesha kwamba yuko Dubai anakula bata;…

MREMBO AIVURUGA NDOA YA UWOYA

NDOA staa wa filamu Bongo Muvi, Irene Iwoya na msanii wa Bongo Fleva, Abdulaziz Chende ‘Dogo Janja’ imedaiwa kupigwa ‘kombora’ la aina yake baada ya mrembo aliyejulikana kwa jina moja la Dayana kuwa na mawasiliano ‘hatarishi’ na Dogo…

Dogo Janja: Sikuiogopa Basata!

ZIKIWA zimepita wiki mbili tangu aachie video ya ngoma yake ya Wayu Wayu, mkali wa Bongo Fleva, Abdulaziz Chende ‘Dogo Janja’ amekanusha tetesi zilizoenea kuwa aliwaogopa Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) ndiyo maana akaigiza kama…