Rais Samia Azindua Mradi wa Maji Makongorosi Wilayani Chunya, Agusia Kuhusu Barabara
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amezindua mradi wa maji katika eneo la Makongorosi lililopo Wilayani Chunya Mkoani Mbeya.
Rais Samia amezindua mardi huo ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya…