The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Tag

MAKALA ZA MAISHA

Faida Za Wapendanao Kuwa Marafiki

UTOKANA na mila mbalimbali, baadhi ya watu wamekuwa wakiamini kwamba mwanamke ni daraja la pili. Daraja la kwanza na lenye kuthaminiwa ni mwanaume. Yaani mwanamke hana kauli kwa mwanaume. Anakuwa kama mtumwa fulani hivi. Mwanaume…

Mbinu Sahihi Kwa Anayetaka Kuolewa!

Maisha yanaenda kasi sana huku suala la ndoa likiwa ni kipaumbele cha kwanza na kigumu kwa wanawake. Matokeo yake wengi wamejikuta wakichanganyikiwa pindi tu wanapotangaziwa ndoa. Mwanamke akiambiwa ninakuoa, akili yote inamruka. Hana…

Unampenda Halafu Hakuelewi!

ASIKWAMBIE mtu, maumivu ya kumpenda mtu halafu yeye akawa hakuelewi huwa yanauma sana. Unateseka kisaikolojia, unafanya kila unalotakiwa kufanya ili aweze kukuelewa lakini mwenzako wapi. Ni kama vile unampigia mbuzi gitaa, hachezi…

Jinsi Ya Kumtambua Tapeli Wa Mapenzi

KWENYE ulimwengu wa mahaba, wengi wanaumizwa. Wengi hufikia hatua ya kukata tamaa na kusema hawatapenda tena. Hawaoni umuhimu, wameambulia karaha za kutosha. Yote hayo hutokea kwa sababu gani? Kuingia kwenye uhusiano na mtu ambaye si…

Mdomo Hauna Vocha

WAREEEEREEE shoga yangu najua umezoea cheko la nyundo haya sasa leo nakupa la msumari nginja nginja! Haya tena sikukuu ndiyo hiyoo imepita kaama hukushiba kwa tonge basi kaa ukijua huwezi kushiba hata kwa kujilamba, upo nyonyo? …

Raha ya chakula mboga

WANAKWA-MBIA jogoo anawika lakini hawezi kutaga! Heri yangu niliyevaa mtandio kuliko weeweee unayeanika makalio heee heeeiyaaaa! Na utachuna mwaka huu, ukiona mikono haitakati kwa kunawa basi chukua nguo ufue, hebu tupishe siye…

Unagombana sana na mpenzi WAKO?

UHUSIANO wa kimapenzi ni kitu muhimu katika maisha ya binadamu! Mtu yeyote ambaye amekamilika, anahitaji kuwa katika uhusiano wa kimapenzi. Hakuna anayeweza kuvumilia maisha ya upweke, sote tunahitaji kupenda na kila mtu anahitaji…

kelele za mbu hazinyimi usingizi

WALETEEEE KELELE shogaa wanakwambia chakula cha harusini hakishibishi na ukitaka kujua masikini na tajiri ufike muda wa zawadi kwa maharusi, wareeee reeee! Miye tena niliokosa zipu kwenye mdomo, linalopita mbele yangu naongea tu kwani…

HAKURIDHISHI FARAGHA ? JIFUNZE!

UZURI wa mapenzi ni kuridhishana. Kila mmoja ‘ainjoi’ kukutana na mwenzake, alifuarahie tendo katika hali ambayo hawezi kuwa na hamu ya mapenzi pale anapokuwa amemaliza tendo. Kinyume na hapo, kukiwa na tatizo katika upande mmoja,…

JINASUE HIVI NA MATAPELI WA MAPENZI

WENGI wameji-kuta kwenye majuto kwa kuwakabidhi watu wasiofaa mioyo yao. Wameambulia mateso makali, wamejikuta wamepoteza muda kwani wameachwa solemba wakati ambao hawakuutarajia.  Ndugu zangu mapenzi yanauma. Yanauma kwelikweli hasa…

MAUMIVU YA KIFUA NA TIBA YAKE

MauMivu ya kifua ni dalili inayotokea watu wengi mara kwa mara na kati ya sababu inayoleta watu wengi hospitali. Kuna sababu nyingi zinazosabisha maumivu ya kifua, nyingi zikiwa ni hali ambao siyo za kutisha. Wakati mwingine ni ngumu…