The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Tag

masogange

Uwoya Ahofia Mzuka wa Masogange!

MREMBO aliyekuwa shosti mkubwa wa marehemu Agnes Gerald ‘Masogange’, Irene Uwoya, amesema baada ya rafiki yake huyo kufariki, amekuwa akipata shida sana kukaa peke yake kwa hofu ya kutokewa na rafiki yake huyo. Akipiga stori na…

Hofu Upya Vifo vya Wasanii

  UPEPO siyo mzuri! Unaweza kutamka maneno hayo kutokana na hali inayoendelea kwa mastaa Bongo baada ya wenzao wanne kufariki dunia ndani ya wiki moja na kuzua hofu upya kwa wasanii mbalimbali, Risasi Mchanganyiko linakupa habari kamili.…

MASOGANGE KAUAWA?

WAKATI mwili wa ‘Video Queen’ maarufu Bongo, Agness Gerald ‘Masogange’ ukitarajiwa kuzikwa jana nyumbani kwao Utengula, Mbalizi-Mbeya, utata umeibuka juu ya kifo hicho kufuatia kuibuka kwa madai kuwa mrembo huyo ameuawa. Masogange…

Kwaheri Rafiki Yangu Masogange

KWELI kila nafsi itaonja mauti. Bila kujali muonekano wa mtu, cheo chake, ustaa alionao au jinsi alivyokuwa akipendwa na watu, kila mtu atakufa. Ninaandika makala haya kwa uchungu nikikumbuka kifo cha rafiki yangu, Agness Waya Gerald…

Chegge: Sitamsahau Masogange

MKALI wa Ngoma ya Kaitaba, Said Juma ‘Chegge Chigunda’ amesema miongoni mwa vitu ambavyo hatakuja kuvisahau maishani mwake ni pamoja na msiba wa video vixen, Agnes Gerald ‘Masogange’ uliotokea Ijumaa iliopita. Chege…