The House of Favourite Newspapers

Amber Lulu Amtamani Jux

MSANII wa muziki Bongo, Amber Lulu amesema amepanga kuzaa watoto watano ambapo kila mtoto atakuwa na baba yake. Lulu amesema hayo akidai kwamba sababu kuzaa kila mtoto na baba yake ni kwamba akizaa na baba mmoja kisha…

Utata Waibuka Mimba Amber Lulu

Utata mzito umeibuka juu ya mimba aliyobeba msanii wa bongo Fleva, Lulu Euggen ‘Amber Lulu’ ambapo swali la msingi la wengi ni nani baba wa mtoto au mwenye ujauzito huo? Katika mahojiano yake na Gazeti la IJUMAA WIKIENDA…

Nai Awakataa Gigy, Amber Lulu

VIDEO Vixen matata na msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Nairath Ramadhani ‘Official Nai’ amefunguka kuwa mtu aliyemleta mjini ni msanii mwenzake Sharif Thabeet ‘Darassa’ na si mwingine yeyote. Majibu hayo yamekuja baada ya hivi karibuni…

Amber lulu Amtolea Uvivu Uchebe

BAADA ya mzazi mwenzake na msanii wa Bongo Fleva, Zuwena Mohammed ‘Shilole’, Ashraf Uchebe kuposti picha katika ukurasa wake wa Instagram akiwa na msanii Lulu Eugene ‘Amber Lulu’ na kusindikiza na maneno yaliyoashilia kuwa mrembo huyo…

Mondi Amponza Amber Lulu

SUPASTAA mkubwa wa muziki barani Afrika, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amemponza sexy lady anayekiwasha kwenye Bongo Fleva, Lulu Euggen ‘Amber Lulu’. Amber Lulu ameliambia Gazeti la IJUMAA kuwa, amejikuta akishambuliwa…