The House of Favourite Newspapers

Mke Wa Aliyekuwa Rais Wa Gabon Afungwa Jela.

Sylvia Bongo Ondimba Mke wa aliyekuwa Rais wa Gabon na kuondolewa madarakani Ali Bongo Odimba amefungwa jela. Sylvia Bongo amekuwa katika kizuizi cha nyumbani katika mji mkuu, Libreville, tangu mapinduzi ya Agosti 30 yalipoondoa…

Gabo Amtolea Mtu Uvivu

BAADA ya tetesi nyingi kusambaa mitandaoni kuwa staa wa filamu za Kibongo, Salim Ahmed almaarufu Gabo amemtelekeza mtoto aliyewahi kuzaa na msanii mwenzake, Husna Sajenti hatimaye amemtolea mtu uvivu. Gabo anasema kuwa,…

Gabo, Mkewe Wamzawadia Mtoto Wao Duka

Msanii mkubwa wa filamu Bongo, @gabozigamba na mkewe @tiffany_store_tz jana walimzawadia mtoto wao duka la nguo za watoto linaloitwa @bill_toto lililopo Mwananyamala A, jijini Dar es salaam. Ambapo wakati wakimzawadia mtoto huyo…

Gabo: Wanafiki Wanasaidia

MSANII wa Bongo Muvi, Salim Ahmed 'Gabo' amesema kuwa kwenye maisha yake hapendi kabisa marafiki wanaong’ata na kupuliza. Akizungumza na MIKITO NUSUNUSU, Gabo amesema kuwa aina hiyo ya watu ni vigumu sana kuishi nao lakini…

Shamsa: Gabo ananipatia

MREMBO kutoka Bongo Movies, Shamsa Ford amefunguka kuwa, anapenda kuigiza na mwigizaji Ahmed Salim ‘Gabo Zigamba’ kwa sababu ni msanii anayempatia pindi wanapokuwa kwenye ‘sini’. Akizungumza na gazeti hili, Shamsa alisema Gabo ni…

Zahera: Nashusha Mgabon

KOCHA Mkuu wa Yanga Mkongomani, Mwinyi Zahera amesema kuwa tayari amefikia muafaka mzuri na straika Mghana, kiungo kutoka Gabon, winga Mkongo na beki ambaye ameficha nchi anayotokea na jina lake. Hiyo, yote katika kukiimarisha…

NORAH: NAMZIMIA KWELI GABO!

MKONGWE wa sinema za Kibongo, Nuru Nasoro ‘Norah’ amesema kati ya waigizaji wa kiume anaowakubali kutoka Bongo Movies ni muigizaji Gabo Zigamba. Norah alifunguka hilo hivi karibuni alipokuwa akipiga stori mbili tatu na…

Nusura Wamasai Watule Nyama-Gabo

MWIGIZAJI anayekuja juu katika tasnia ya filamu Bongo, Gabo Zigamba, amesema maisha yake ya uigizaji yamejaa kumbukumbu nyingi, lakini moja kati ya vitu ambavyo hatasahau, ni jinsi yeye na wenzake, walivyonusurika kudhuriwa na watu wa…

Serengeti Boys kuwavaa Gabon kesho

Ibrahim Mussa | Championi Ijumaa | Habari TIMU ya Taifa ya Vijana ya Tanzania chini ya miaka 17, Serengeti Boys, kesho Jumamosi inatarajiwa kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Gabon katika Viwanja vya Shirikisho la Soka Morocco (FRMF)…