The House of Favourite Newspapers
Tags:

Lulu Adaiwa Kutoka na Jaguar

BAADA ya kuweka hadharani kuwa amepata meneja mpya katika za muziki, msanii wa Bongo Fleva, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ anadaiwa kutoka kimapenzi na meneja huyo ambaye pia ni mwanamuziki kutoka Kenya, Jaguar. Kwa mujibu wa chanzo, hivi…

Lulu Aingia Mkataba na Jaguar

MSANII wa Bongo Fleva, Lulu Abbas `Lulu Diva’ amejikuta kwenye furaha ya aina yake baada ya kuingia mkataba na msanii kutoka nchini Kenya,Jaguar atakayekuwa anasimamia kazi zake. Akipiga stori na Showbiz Xtra,Lulu alisema ni jambo la…

Prezzo Azidi Kumlipua Jaguar

BONIPHACE NGUMIJE MKALI wa Muziki wa Hip Hop Afrika Mashariki, Jackson Makini ‘Prezzo’ hivi karibuni alizidi kulimwagilia maji bifu kati yake na msanii mwenzake kutoka Kenya, Charles Njagua ‘Jaguar’ kwa kudai kuwa hamfahamu na wala…

Utajiri Wa Lyyn Wadaiwa Kuyeyuka

ULE utajiri uliotengeneza vichwa vya habari wa video vixen na msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Irene Louis ‘Lyyn’, unadaiwa kuyeyuka, RISASI limedokezwa. Lyyn ambaye aliwahi kugandwa na skendo ya kutoka kimapenzi na Bosi wa…

Zari Amkata Maini Mobeto

MWANAMAMA mjasiriamali na mzazi mwenzake na staa wa muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’, amemkata maini mwanamitindo Hamisa Mobeto ambaye alitikisa na bethidei ya mwanaye.…

NANDY AWEKA REKODI YA KIBABE

DAR ES SALAAM: Hii ni rekodi ya kibabe! Mrembo anayefanya vizuri mno kwenye anga la Bongo Fleva, Faustina Charles Mfinanga ‘Nandy’ (26), ameonesha kwamba ukiamua kuweka ndoto zako na kusaka namna ya kuzitimiza, hakika inawezekana,…

MSHTUKO UTAJIRI WA LYNN

MUUZA sura (video queen) wa video za wasanii wa Bongo Fleva, Irene Hillary almaarufu Lynn ameibua mshutuko uliotokana na utajiri wake huku akiwa na umri mdogo wa miaka 18 tu.   Lynn ni yule mrembo aliyeonekana kwenye video…

Mistari kwa Mistari

Na Mwandishi Wetu John | Gazeti la Champion DESEMBA 31, 2016 siku ya mkesha wa kuamkia mwaka mpya wa 2017 kutakuwa na shoo kwenye Ukumbi wa Dar Live, Darassa na Roma ndiyo watakuwa wahusika wakuu wa shoo hiyo, kuelekea siku hiyo…