The House of Favourite Newspapers

Vanessa: Naishi Maisha Yangu

MWANADADA anayejua kutupia pamba vilivyo ndani ya muziki wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee ‘Vee Money’ amesema kuwa anaishi maisha yake na siyo maisha wanayotaka watu aishi. Akichezesha taya na Mikito Nusunusu, mwanadada huyo…

Sarah Amkomesha Harmonize

WAKATI akigulia majeraha ya kutemwa na mpenzi wake, Kajala Masanja, Msanii Bongo Fleva, Rajabu Abdul ‘Harmonize’ ameendelea kupata pigo lingine baada ya aliyedaiwa kuwa mkewe Sarah Michelotti kumrusha roho na kidume mwingine. …

Coy Mzungu Amshukuru Mondi

MSANII wa maigizo ya vichekesho na kiongozi wa Kundi la Cheka Tu, Comrad Kennedy ‘Coy Mzungu’ amesema kuwa amefurahisha na kitendo cha msanii wa muziki Nasibu Abdul ‘diamond” kumpatia zawadi ya gari kwani kimemfanya awe mtu katika watu.…

Gabo: Wanafiki Wanasaidia

MSANII wa Bongo Muvi, Salim Ahmed 'Gabo' amesema kuwa kwenye maisha yake hapendi kabisa marafiki wanaong’ata na kupuliza. Akizungumza na MIKITO NUSUNUSU, Gabo amesema kuwa aina hiyo ya watu ni vigumu sana kuishi nao lakini…

Nandy Bize Hadi Pumzi Inakata

Sexy lady anayekimbiza kwa sasa kwenye Bongo Fleva, Faustina Charles ‘Nandy’, amefunguka kuwa yupo bize sana na kazi yake ya muziki kiasi ambacho muda mwingine pumzi inakata. Akipiga stori na Mikito Nusunusu, Nandy ambaye anakimbiza…

Lulu Ajivunia Kulea

STAA wa filamu za kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’, amesema anamshukuru Mungu kwa kumsaidia kumlea vizuri mdogo wake Erick mpaka sasa amefanikiwa kuhitimu elimu yake ya msingi Shule ya Feza Boys. Akizungumza na Mikito…

Kumbe Jide Alikuwa Rapa!

MWANAMUZIKI mkongwe kwenye gemu la Bongo Fleva, Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ au Jide, amefunguka kuwa mwanzo kipindi anaanza muziki, hakujua kama yeye ni muimbaji. Akipiga stori na Mikito Nusunusu, Jide amesema…

Jux: Huddah Ana Vigezo Ninavyohitaj

BAADAya maneno kuwa mengi mtandaoni kuwa staa wa Bongo Fleva, Juma Mussa ‘Jux’ ana uhusiano wa kimapenzi na mrembo wa Kenya, Huddah Manroe ‘Huddah’ hatimaye mkali huyo wa RnB amefunguka kuwa habari hizo sio za kweli licha ya kuwa bidada…