The House of Favourite Newspapers

Mbeya City Yaitungua Simba Sokoine

MECHI ya Ligi kuu Tanzania Bara imemalizika katika Dimba la Sokoine jijini Mbeya huku Mnyama Simba akiambulia kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa Mbeya City. Goli la Mbeya City limefungwa na mshambuliaji Paul Nonga dakika 20 ,…

Mbeya City Wamfuata Kabwili

UKISEMA wa nini wenzako wanajiuliza watampata lini. Hivyo ndivyo ilivyo kwa Mbeya City ambapo inaelezwa kuwa imepeleka ofa ya kumsajili kipa namba tatu wa Yanga, Ramadhan Kabwili. Chanzo kutoka Yanga, kimeliambia Spoti Xtra kuwa:…