The House of Favourite Newspapers

Polisi Wamwachia Peter Msigwa Usiku

MBUNGE wa Iringa Mjini (Chadema) Msigwa ameachiwa huru jana usiku  kwa dhamana baada ya kukamatwa akiwa kwenye mkutano wa hadhara. Msigwa ameachiwabaada ya kudhaminiwa na wadhamini wawili Alex Kimbe pamoja na Mwenyekiti wa Bavicha…

Peter Msigwa na wenzake 61 waswekwa rumande

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa, Ramadhani Mungi.Aliyekuwa Mbunge wa Iringa Mjini kwa tiketi ya Chadema, Mchungaji Peter Msigwa. KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Iringa, Ramadhani Mungi, amesema Jeshi hilo linamshikila aliyekuwa Mbunge wa Iringa…

Msigwa Aahidi Neema Iringa Mjini

Mgombea ubunge wa Jimbo la Iringa Mjini kupitia chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA Mchungaji Peter Msigwa amewaomba wananchi wa jimbo hilo kumpa miaka mitano mingine ili aendelee kuleta maendeleo kama alivyofanya kwenye miaka…

Mbowe, Msigwa Wajitoa Urais CHADEMA

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia  na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe  na makada wengine watatu wamejiengua katika kinyang’anyiro cha kuomba kuteuliwa na chama hicho kugombea urais wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020.…