×


Facebook


Wolper nusura apigwe risasi ‘sheli’

Jacqueline Wolper. NA MUSA MATEJA, RISASI MCHANGANYIKO DAR ES SALAAM: Chupuchupu! Mwanadada anayeng’ara kunako tasnia ya filamu za Kibongo, Jacqueline Wolper, juzikati almanusra apigwe risasi…

SOMA ZAIDIMjengo wamuumbua Mke wa Rayvanny

AMEUMBUKA! Ndivyo unavyoweza kusema kutokana na mjengo ambao mke wa msanii wa Bongo Fleva, Raymond Mwakyusa ‘Rayvanny’, Fahima Msenga ‘Fahyvanny’ kujinadi kuwa wamejenga kwa kudunduliza…

SOMA ZAIDI

Nandy aonesha jeuri ya fedha

MWENYE nacho ataongezewa! Ndivyo msanii Bongo wa Fleva, Faustina Charles Mfinanga ‘Nandy’ (26), anavyozidi kuonesha jeuri ya fedha.  Usikumbuke mjengo wa kisasa na magari ya…

SOMA ZAIDI

Ukweli Harmo kumtema Sarah

HABARI inayofukuta huko mitandaoni zinadai kwamba mkali wa Bongo Fleva, Rajabu Abdul ‘Harmonize’ au Harmo amemwagana na mkewe Sarah, lakini Risasi Mchanganyiko limezama mzigoni na…

SOMA ZAIDIUNDANI MAFUTA YA UPAKO NI HUU

  BAADA ya watu 20 kufariki dunia kwa kukanyagana mjini Moshi wakigombea kukanyaga mafuta yanayoitwa ya upako, wengi wamekuwa wakijiuliza mafuta hayo ni kitu gani…

SOMA ZAIDI


Kumbe Iyobo hakummisi kabisa Aunt

DANSA kiwango ndani ya Wasafi Classic Baby (WCB), Moses Iyobo amefunguka kuwa hakuwahi kummisi mzazi mwenziye ambaye ni staa wa Bongo Muvi, Aunt Ezekiel kwa…

SOMA ZAIDI

Kigogo Atajwa Mjengo wa Mobeto

DAR: MJINI utanyimwa chakula lakini umbea utaupata bure, Mrembo Hamisa Mobeto amevumishiwa skendo kwamba mjengo mpya ‘aliyojimwambafai’ kuhamia hivi karibuni amepangishiwa na kigogo mmoja aliyepo…

SOMA ZAIDI

Anguko Kubwa Mastaa 2020

MWAKA 2020 utakuwa wenye anguko kubwa kwa mastaa wa Bongo, habari mpya kutoka kwa mtabiri maarufu, Afrika Mashariki na Kati, Maalim Hassan Yahya Hussein zinaeleza. …

SOMA ZAIDI

Aunt, Iyobo Wafanya Tambiko Mapangoni

TANGA: MUIGIZAJI Aunt Ezekiel na mzazi mwenziye Moses Iyobo wamefanya ziara kwenye mapango ya Amboni jijini Tanga ambapo pamoja na mambo mengine, wamefanya tambiko ili…

SOMA ZAIDI

Petit atoa somo la mahusiano

MENEJA wa wasanii wa muziki wa Bongo Fleva, Ahmed Manungwa ‘Petit Man’ amesema kwamba haoni kama kuna umuhimu wa kuyaanika matatizo yake yanayomkuta kwenye mahusiano….

SOMA ZAIDI

Batuli afichua siri ushosti wake na Wema

MREMBO Yobnesh Yusuf ‘Batuli’ amefichua siri kuhusu urafiki wake na muigizaji Wema Sepetu kuwa ulirudi muda mrefu ila watu hawakufahamu.  Akizungumza na Risasi Mchanganyiko, Batuli…

SOMA ZAIDIHARMO wimbo wake mpya… Matatani tena!

AMKENIII! Wimbo wake wa Hainistui umemtia matatani tena msanii maarufu Bongo, Rajabu Abdul Kahali a.k.a Harmonize au Harmo.  Dishi la Risasi Mchanganyiko limenasa skendo mbichi…

SOMA ZAIDI

Kada CCM Auawa Kisa Sh 200

KADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM); Kata ya Tungi, Manispaa ya Morogoro, Baraka Masuki amedaiwa kuuawa kwa kupigwa kichwa kwenye paji la uso na mteja…

SOMA ZAIDI

MAUA SAMA THT ILINIONDOA UOGA!

MAUA Sama ni miongoni mwa warembo ambao Kibongobongo wanafanya vizuri.  Amezungumza na Gazeti la Risasi Mchanganyiko mambo mengi yanayohusiana na muziki wake, karibu: Risasi: Kitu…

SOMA ZAIDI

Mama aua mwanaye kwa kipigo

INASIKITISHA! Mama mzazi wa Salome Pius Kahela (13) ambaye ni mwanafunzi wa darasa la tano katika Shule ya Msingi Iyela, Mbeya; Anipha Zambi mkazi wa…

SOMA ZAIDI

SHEHE PONDA AKATAA SADAKA YA MONDI

KATIBU wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Shehe Issa Ponda amesema msikiti uliojengwa na Supastaa wa Bongo Fleva; Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na kuutoa…

SOMA ZAIDI


Sanchi apigwa stop nguo za kubana

D AKTARI wa mwanamitindo mwenye umbo matata Bongo, Jane Rimoy ‘ Sanchi’ amempiga stop mrembo huyo kuvaa nguo za kubana kwa kipindi hiki ambacho amepandikiza…

SOMA ZAIDI


Gigy Money Alaaniwa na Mama’ke

  MAMA wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Gift Stanford ‘Gigy Money’, Fatuma Katunda ‘Kissa’ amemlaani mwanaye huyo na kufikia hatua ya kusema asimzike kutokana na…

SOMA ZAIDI

TRA Yalikana Gari La Mobeto

  AMA ulikuwa na taarifa za mitandaoni kuwa gari la mwanamitindo maarufu Hamisa Mobeto limekamatwa na Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) kwa kudaiwa kodi na…

SOMA ZAIDI

Ndoa ya Queen Darleen Ilivyoacha Maswali

 BAADA ya dada wa msanii nguli nchini; Nasibu Abdul ‘Diamond’, Mwanahawa Abdul ‘Queen Darleen’ (34) kuolewa kwa siri, Risasi Mchanganyiko linakupa simulizi ya tukio zima….

SOMA ZAIDI

GLOBAL TV Online